Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Sikulaumu, nalaumu wazazi wako kwa kutukuona umuhimu wa kukupeleka shule angalau uweze kutumia akili, kwani sasa unatumia uji
 
Kwa maana hii hata Nape kesho anaweza kuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi. Watanzania tujifunze uhuru wa kweli watu huwa hawapewi kwenye sahani kuna maumivi na gharama
Natarajia wengi watalisoma hili andiko lako mkuu, naona tanzania arab-spring -like haiko mbali sana mkuu
 
Waliokuwa wamefungua kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia chaguzi wanaweza kurudi tena mahakamani kuonesha ni kwa nini walikataa wakurugenzi wa Halmashauri za Miji, Manispaa na majiji kusimamia chaguzi zetu. Huwezi kuvaa suti nyeupe na kisha ukaingia kwenye bwawa lenye grisi na usichafuke!!
 
Kaka mkubwa kuna matendo ya aina tatu yenye matokeo tofauti ama yale yale
Kutenda kwa weledi na kufuata miiko ya taaluma
Kutenda kwa kufuata sheria kanuni na taratibu
Kutenda kwa kufuata mazoea na maagizo toka mamlaka fulani
Katika hayo matatu lazima moja ama mawili yatakengeuka na kupingana ama na uhalisia au utashi
Uhalisia hauyumbi wala kuyumbishwa...utashi una rangi nyingi
 
Bado kuna fursa ya rufaa kwenda the East African Court of Justice (EACJ).
 
Kateni rufaa Mahakama ya Africa Mashariki, msiporidhika nendeni Mahakama ya Africa, mkipigwa nendeni Mahakama ya Umoja wa Ulaya, mkichemka nendeni Umoja wa Mataifa.
 
Kateni rufaa Mahakama ya Africa Mashariki, msiporidhika nendeni Mahakama ya Africa, mkipigwa nendeni Mahakama ya Umoja wa Ulaya, mkichemka nendeni Umoja wa Mataifa.
Umetokea wapi, mbona wachaga walio wengi wanajitambua?
 
Asante Mshana! Eti walikula kiapo! JA Mugasha, kiapo mbona wanajeshi wanakula kiapo wanapindua serikali? Idd Amin alikula kiapo, and many many more others walikula viapo na wakakiuka viapo vyao. Na kuna ushahidi kuwa wale walikuwa ni wana CCM na wameshafanya uharamia, facts on the ground zingeliku guide Mugasha kufikiri zaidi!
 
Si tulizuia kesi kwenda huko? au nakosea kumbukumbu!
Ilikuwa ile ya Afrika, ambayo kujitoa kwake kunaanza kuwa effective (Novemba 22, 2020) baada ya miezi 12 ya kujitoa (Novemba 21, 2019).
 
Kiapo ni madhabahu ya wote ..hata kwenye satanism na magenge ya kihalifu kuna viapo na vinasiginwa...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…