Serikali yashindwa kuwalipa posho ya kujikimu walimu wanafunzi walioko katika mazoezi ya kufundisha.

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
561
Reaction score
135
Katika hali ya kusikitisha serikali imewatelekeza walimu wanafunzi wa vyuo vya ualimu vya CHETI pamoja na Stashada ambao wapo kwenye mazoezi ya Muda mrefu ya kufundisha (BTP). Tarehe 3 mwezi huu wizara ya elimu iliruhusu hao wanafunzi kwenda mazoezi kwa kuwalipa posho ya siku 15 tu kwa ahadi ya kuongeza fedha hiyo kabla tarehe 15, Cha kusikitisha mapaka leo hii naonngea hapa hakuna hela iliyoongezwa wala tetesi kwamba hiyo hela inakuja lini. Watoto wawatu wameanza kuonja joto ya jiwe ukizingatia maisha yalivyo huko katika vijiji vyetu waliko pangwa.

Naomba mweshimiwa Waziri wa fedha na wasaidizi wako mlione hili ili muweze kuwasaidia hawa watoto wa wakulima na walala hoi.
 
Kuweni wapole msubiri kwani hamkuona tulivyotumia hela nyingi kalenga? Subirini tunawatafutia nyie siyo mihimu kiasi hicho.

Ndugu yangu hapa siyo pahala pa utani watoto wa watu watakula nyasi.
Kuweni wapole msubiri kwani hamkuona tulivyotumia hela nyingi kalenga? Subirini tunawatafutia nyie siyo mihimu kiasi hicho.
 
Ahsante kwa tarifa mkuu wahusika watakuwa wamekupata tunawaomba walichukue na kulitatua mapema walimu wetu tunawahitaji sana.
 
Tatizo la bavicha kila kitu mnadhani ni utani kama mnavyofanya huko bavicha.
 
Kwa mara ya kwanza umekuwa na akili kuelekea maslahi ya UMMA. Afya ya akili inajengwa na misosi. Kama watu wanalishwa njaa hivi tutegemee walimu wa hovyo na baadae taifa hovyo
Ahsante kwa tarifa mkuu wahusika watakuwa wamekupata tunawaomba walichukue na kulitatua mapema walimu wetu tunawahitaji sana.
 
Ndio kawaida ya serikali yetu siasa mbele maendeleo nyuma. Mbona hao wa mjengoni hawakopwi? Pesa za kuendeshea kampeni mbona zipo? Poleni sana walimu tarajari hii ndio tanzania. Tafuta wimbo wa Roma mkatoliki Hii ndio Tanzani.uusikilize, utajua.
 
Back
Top Bottom