Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional.

Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za privatization ikiwemo shares za Kenya Pipeline Company na Safaricom kwenye hiyo fund.

Wanadai Senate iliachwa nje ya process, na pia sheria inapunguza oversight ya Parliament pamoja na role ya Controller of Budget. Pia kuna concerns za lack of public participation na unfair distribution ya resources.

Wanasisitiza kuwa bila court kuingilia haraka, billions za pesa za umma zinaweza kutumika nje ya constitutional framework jambo ambalo linaweza kuleta serious consequences
 
Back
Top Bottom