Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada, uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es Salaam na Pwani.
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka Kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita milioni 33.9.
Vilele aliongezea kuwa, "Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji Kigamboni, tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikuwa bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji."
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache. Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.