Ken una Nini lakini wewe🤣🤣🤣! Yaan unakuwaga na akili zako tu dahTanzania Ni Tajiri Sana
Ken una Nini lakini wewe🤣🤣🤣! Yaan unakuwaga na akili zako tu dah
Muda Wa Kusifu Na KuabuduKen una Nini lakini wewe🤣🤣🤣! Yaan unakuwaga na akili zako tu dah
Dah! Watu wanapoteza ma billion sisi kwangu kukavu tia mchuzi ukipoteza hata 10000 unatamani hata kung'ata watu hovyo barabarani..[emoji28]
Kweli life is not fair.. nitasikitika nikiambiwa jamaa hata hajalia hata tone moja la chozi..!
Muda Wa Kusifu Na Kuabudu
Vyeo Vipo Vingi
Siku Moja Utaniona Mbali Nami Font Feji [emoji3][emoji16]
Viongozi Ninaowateua Waridhike Na Nafasi Ninazowapa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dah! Watu wanapoteza ma billion sisi kwangu kukavu tia mchuzi ukipoteza hata 10000 unatamani hata kung'ata watu hovyo barabarani..😅
Kweli life is not fair.. nitasikitika nikiambiwa jamaa hata hajalia hata tone moja la chozi..!
Kwahiyo hiyo pete ndio dhahabu iliyokamtwa au? Mbona mi kama sielewi kabisa
"KUTAIFISHA" si jambo la kujivunia hata kidogo.
Wangepigwa faini kisha walazimishwe kufuata taratibu.
Umenigawa Tena!!Hahahhahaaha...sijawahi acha kucheka...dah..wewe nishakugawa...ninacheka hapa balaa ..dah🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa magabacholi waliona Tz shamba la bibi safi sana serikali
Hapa sijaelewa huyu amekamatwa akiingiza dhahabu nchini (entry point) inakuwaje iwe ni magendo. Je kama angelipishwa importation duty na fine kulikuwa na kosa lipi.Serikali imetaifisha dhahabu ya Kilogram 27.488 yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2.9 iliyoingizwa kinyemela kutoka Kenya
Dhahabu hiyo mali ya Mfanyabiashara Bhawesh Chandulal Gandecha, ilikamatwa na Afisa Forodha katika mpaka wa Tanzania na Kenya huko Sirari, May 15, 2020
Meneja wa TRA Mkoa wa Mara, Wallace Mkande, amesema Mfanyabiashara huyo alikamatwa akitaka kuingiza dhahabu hiyo kutoka Kenya kinyemela bila kuwa na nyaraka za kuonesha amelipia ushuru
Mfanyabiashara huyo alipoulizwa alisema ameshalipa ushuru ila hajapewa stakabadhi na kuwa nyaraka nyingine zipo Dodoma huku akipiga simu kwa baadhi ya watu kuwalalamika kwa kushelewesha kuzituma
Alifunguliwa kesi Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime na kushtakiwa kwa makosa ya Kuendesha Mtandao wa Uhalifu, Kufanya biashara ya dhahabu bila nyaraka muhimu na kutakatisha fedha
Nadhani hii ni Kama korosho ulivyokuwa wakati serikali imetangaza kununua, zilitoka korosho kutoka Mocambique kukimbilia bei nzuri ya serikali na wakadakwa Kama wahujumu wa uchumi. Sasa kwenye dhahabu, nadhani minada ya madini na serikali kuweka akiba yake kwenye madini Kama ilivyoyanunua take ya Sainunui Laiser, imepelekea wageni kuvutiwa na soko la ndani.Hapa sijaelewa huyu amekamatwa akiingiza dhahabu nchini (entry point) inakuwaje iwe ni magendo. Je kama angelipishwa importation duty na fine kulikuwa na kosa lipi.