Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Mie kuitafisha nahis Kam dhulma au wizi wa waziwazi..ulichosema ndoninabid kifanyike"KUTAIFISHA" si jambo la kujivunia hata kidogo.
Wangepigwa faini kisha walazimishwe kufuata taratibu.
Mie kuitafisha nahis Kam dhulma au wizi wa waziwazi..ulichosema ndoninabid kifanyike"KUTAIFISHA" si jambo la kujivunia hata kidogo.
Wangepigwa faini kisha walazimishwe kufuata taratibu.
Je wakenya wakiomba huyo mtuhumiwa na hiyo dhahabu warudishwe kama walivyorudisha dhahabu zetu itakuaje?Nadhani hii ni Kama korosho ulivyokuwa wakati serikali imetangaza kununua, zilitoka korosho kutoka Mocambique kukimbilia bei nzuri ya serikali na wakadakwa Kama wahujumu wa uchumi. Sasa kwenye dhahabu, nadhani minada ya madini na serikali kuweka akiba yake kwenye madini Kama ilivyoyanunua take ya Sainunui Laiser, imepelekea wageni kuvutiwa na soko la ndani.
Madhara ni nini?
Nadhani kutakuwa na saturation ya soko la ndani. Pia black market ya madini kwa kuwa sidhani Kama Kenya Kuna mgodi wa dhahabu.
Mkuu naona unameona mbali sana kwani tarehe aliyekamatwa mtuhumiwa Kenya ilikuwa imefunga mpaka pili huko Kenya hakuna uchimbaji wa dhahabu nyingi kiasi hichoHivi kenya nayo inamigodi?
Hii ni kama ile sinema iliyofanya kule sengerema. Mwisho wa siku wahusika wakasamehewa. Ni kma ile ile gold inazunguka.