Serikali yataifisha dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2.9

"KUTAIFISHA" si jambo la kujivunia hata kidogo.

Wangepigwa faini kisha walazimishwe kufuata taratibu.
Mie kuitafisha nahis Kam dhulma au wizi wa waziwazi..ulichosema ndoninabid kifanyike
 
Kwa hiyo watairudisha kenya au?maana kenya waliturudishia waliyoishika ikitoroshwa toka Tanzania na fedha pia
 
Hivi kenya nayo inamigodi?

Hii ni kama ile sinema iliyofanya kule sengerema. Mwisho wa siku wahusika wakasamehewa. Ni kma ile ile gold inazunguka.
 
Je wakenya wakiomba huyo mtuhumiwa na hiyo dhahabu warudishwe kama walivyorudisha dhahabu zetu itakuaje?
 
Pole sana gandecha hustle zako tunazielewa ..tangu mwaka jana umekua na matukio mabaya sana na ulivyo mwoga wa policcm ahaha ahah .

Rudi tuu ukakomae na kiwanda yako
 
Hivi kenya nayo inamigodi?

Hii ni kama ile sinema iliyofanya kule sengerema. Mwisho wa siku wahusika wakasamehewa. Ni kma ile ile gold inazunguka.
Mkuu naona unameona mbali sana kwani tarehe aliyekamatwa mtuhumiwa Kenya ilikuwa imefunga mpaka pili huko Kenya hakuna uchimbaji wa dhahabu nyingi kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…