Maelezo yao ya kuzingatia yana ukakasi, hayajaweka bayana ulazima wa kucertify, ila kama tunavyojua katika maombi mengi ya kazi huwa wanataka vyeti viwe certified.
Sasa kitendo chao hiki cha kutoweka bayana kinaleta sintofahamu kwa waombaji ambapo mtu anashindwa afuate lipi na aache lipi.
Mkuu Samaya kwenye demonstration yao kule YouTube, hawajazungumzia hili jambo?
Sawa mkuuHawakuzungumzia ila kwenye maswali walyokua wanaulizwa kwenye acc zao walilitolea ufafanuz
Hata nikitumia pc inafanya hivi hiviHapo ishaupload inataka uview sema uwezo wa simu kuview nndo mdogo
kwenye CV unaandika vitu gani walivyosema vya muhimuHata nikitumia pc inafanya hivi hivi
Kwenye barua Yao wamesema wanahitaji nakala hawakusema viwe certified na maana ya nakala ni copy sasa copy zipo aina mbili Kwa maana unabaki na original sasa unaweza scan original na kuiweka pdf na kuwatumia au km unatoa copy Kwa namna nyingine bhas ndo ucertify.Vyeti n lazima viwe certified mkuu
Kwass hawapokei simu sema nimewatumia ujumbe kuclarify hilo.Hii ishu waliulizwa wakajbu n lazma viwe certified,na utaratbu wa kuomba ajira hua vyet n kua certified
Kwass hawapokei simu sema nimewatumia ujumbe kuclarify hilo.
Asante mkuu Kwa msaada.Owkey,wachek pia kwenye page yao ya Insta hua wanajibu
Asante mkuu Kwa msaada.
Hapana sio lazima waliuliza wapi?..nilifatilia YouTube mwanzo mwisho na zile sehemu zote muhimu nazikumbuka.....Hii ishu waliulizwa wakajbu n lazma viwe certified,na utaratbu wa kuomba ajira hua vyet n kua certified
Hapana sio lazima waliuliza wapi?..nilifatilia YouTube mwanzo mwisho na zile sehemu zote muhimu nazikumbuka.....
Issue ya application letter kuicombine na CV ilikua kwenye dakika ya 8...lakini hawakuzungumzia kwamba nakala lazima iwe certified mzeee..,
Issue ni uhalali wa details.Sw Mkuu we weka unavyoona n sahh
Umekosea nini mkuuAnayefahamu namna ya kufuta usajili kwenye mfumo wa maombi ya ajira anifahamishe tafadhali
Address, namba ya simu, sehemu unayoishi(vyote vipo kwenye tarifa binafsi) Elimu kuanzia olevel Hadi University vimeonyeshwa, yaan CV itakuwa na jipya gani labda refereeIssue ni uhalali wa details.
Suala la ku-certify kopi za vyeti mahakamani au kwa wakili ni kuthibitisha kwamba original zipo ila hizo ni kopi tu ( ndio maana ukienda kwa wakili au mahakamani anapaswa kuziina original zako kabla hajagonga mhuri wa ushahidi kwenye kopi ).
Ila kwasasa kwenye huo mfumo Tamisemi, unaweza ku-upload original tu ( Scanned ) na ukamaliza mchezo.
Cheti original hakihitaji uthibitisho kutoka mahakamani au kwa wakili.
Na kuhusu application letter na CV ni muhimu kwasababu inabeba address zako muhimu.
Kwenye application letter mara nyingi wanasoma ANUANI YAKO, TITLE na NAFASI UNAYOOMBA.
Huwezi kupata detailed personal details kama elimu, hobbies, experience, reference, kwenye application letter.Address, namba ya simu, sehemu unayoishi(vyote vipo kwenye tarifa binafsi) Elimu kuanzia olevel Hadi University vimeonyeshwa, yaan CV itakuwa na jipya gani labda referee
Address, namba ya simu, sehemu unayoishi(vyote vipo kwenye tarifa binafsi) Elimu kuanzia olevel Hadi University vimeonyeshwa, yaan CV itakuwa na jipya gani labda referee
Haa hobbies kwenye ajira za ualimuHuwezi kupata detailed personal details kama elimu, hobbies, experience, reference, kwenye application letter.