Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

mfumu ukakat5aa mimi nimesoma BAchelor of arts with education ila nikiomba walimu wa degree inagoma
Soma hapo nimeeleza
 
asante, nimepaona, ila nashangaa hakuna bachelor of history and english language, au wewe umeiona?
Hivi kweli ipo bachelor ya hivyo? Kuna bachelor of arts with education au bachelor of education in .........
 
Hivi kweli ipo bachelor ya hivyo? Kuna bachelor of arts with education au bachelor of education in .........
angalia walivyoziweka ajira portal kama mdau hapo juu alivyotuelekeza jinsi ya kujaza ili mfumo usikatae, wameweka bachelor of education alafu masomo uliyospecialize kama ni mathematics au kiswahili and geography, sasa mimi natafuta bachelor of education nimespecialize history ad english language ila siioni kwenye list degeree yangu ni bachelor of arts with education (history and english language)
 
Aliyesoma bachelor of Arts with education, amespecialize kwenye kiswahili na kiingereza anaandikaje?

Je hapo kwenye professional anatakiwa kuattach chet cha degree kwa mara nyingine?
 
asante, nimepaona, ila nashangaa hakuna bachelor of education history and english language, au wewe umeiona?
Andika mojawapo, somo unalotaka kwenda kulifundisha.
 
Aliyesoma bachelor of Arts with education, amespecialize kwenye kiswahili na kiingereza anaandikaje?

Je hapo kwenye professional anatakiwa kuattach chet cha degree kwa mara nyingine?
Kama hamna kipengele chenye kujumuisha Kiswahili na Kiingereza, andika kipengele chenye somo moja tu.

Usitake kujihangaisha ukafundishe masomo yote mawili, Sekondari sio primary, stick na somo lako moja, maisha yasonge mbele.

Cheti ni hicho hicho tu. Hakikisha Transcript inaonesha somo ulilobobea, kama ni kiswahili na Kiingerezi vitajwe kwenye transcript
 
Andika bachelor of arts with education.
 
Bonus kwa wenye masomo mawili na mfumo ukayatambua kwa pamoja:

Mfano: Bachelor of Education in Geography and Kiswahili.

Hapo unaweza kuapply masomo yote mawili katika nafasi mbili tofauti.

Hili nimeliona jana wakati namfanyia mtu application.

Nilianza na somo moja, baada ya kumaliza nikaapply somo lingine.

NOTE: Barua zinatakiwa ziwe tofauti, yaani barua ielezee somo husika unaloomba hiyo nafasi.
 
Usaili ni jumamosi
 
Hivi Jaman naona barua iliyosainiwa ni Saini hii ya kwangu au na yenyewe inapita kwa mwanasheria
Barua ipite kwa mwanasheria ya nini? Cha msingi upige sahibi ya mkono
 
mfumu ukakat5aa mimi nimesoma BAchelor of arts with education ila nikiomba walimu wa degree inagoma
Inagoma inasemaje? Unaomba nini? Na kwenye program category umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…