Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Sasa mbona kwenye ajira portal wamezigawa kila mkoa kwa kila somo
Huwez omba mikoa tofauti kwa kazi moja, labda tuseme mwl wa kiingereza ukaomba Tanga na Kigoma hapana, ila unaweza kuomba mwl wa kiingereza Tabora, halafu ukaomba mwl wa kiswahili Singida
 
Huwez omba mikoa tofauti kwa kazi moja, labda tuseme mwl wa kiingereza ukaomba Tanga na Kigoma hapana, ila unaweza kuomba mwl wa kiingereza Tabora, halafu ukaomba mwl wa kiswahili Singida
Nawe muongo sasa uone kiingereza halfu kwa acc hiyo ikuruhusu tena kuomba kwa some lingine hamna hizo shughuli utumishi
 
Wanaangalia uhqba uko wapi hizi nafasi kila halmashauri au mkoa umetoa takwimu za upungufu wake na zimetangazwa kulingana na uoungufu wa m
oa husika,hivyo pia zingatia ngazi ya elimu stashahada (diploma) nq shahada (degree)
Hakuna mkoa usio na upungufu. Mkoa wa dodoma tuu una upungufu wa walimu zaidi ya elfu 9000 wa shule za msingi tuu alafu wanatoa ajira 85 tuu za walimu wa msingi mkoa mzima si kichekesho....
 
Hakuna mkoa usio na upungufu. Mkoa wa dodoma tuu una upungufu wa walimu zaidi ya elfu 9000 wa shule za msingi tuu alafu wanatoa ajira 85 tuu za walimu wa msingi mkoa mzima si kichekesho....
Hawana hela mkuu za kuajiri kwa mkupuo kumaliza changamoto zote ni mdogo mdogo
 
Hivi kweli wataweza kuwafanyisha interview watu zaidi ya laki 3? Hizo computer watazitoa wapi? Kama interview itakuwepo basi watachukuliwa wachache sana na sio wote waliomba.
Afya na elimu ina jobless zaidi ya laki 3 ambao wastani kwa mkoa ni watu 12,000 ambapo walimu tu wanaweza kuwa 8,000 kwa kila mkoa.
Sasa ili Hawa watu wafanye interview kwa siku moja inabidi inabidi mkoa uwe na computer 1000 ili computer moja ihudumie watu 8 kwa siku nzima.
Lakini pia hata kwenye mahojiano inabidi kuwepo na panels nyingi sana maana mtu mmoja anaweza kutumia dk 20 mpaka 30 kwenye mahojiano, maanake siku nzima panel itahoji watu 15~20.
Mchakato huu huenda ukatumia bajeti kubwa sana.
 
Interview ni lazima..walimu jiandaeni
20240722_004136.jpg
 
"sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa". mwenye ujuzi hapa
 
Huu mfumo wa ajira portal ni mfumo wa kibabe Sana kwa hyo vijana wanaoomba ajira hizi wa ualimu wawe nao makini . Usipogonga vyeti vyako kwa mwanasheria huitwi kwenye interview, usipoweka passport vizuri kwenye mfumo huitwi kwenye usaili Yan Mambo madogo yanakutoa mchezoni kizembe. Vijana wa education wawe makini Sana maana ni wageni wa mfumo.

hakikisha vyeti vyako vna muhuri wa mwanasheria na tangazo limeeleza hili

Toa copy vyeti vyako harafu hizo copy ndo uka'certify Kwa mwanasheria.

Kumbuka kwenda na original certificates Kwa mwanasheria maana kabla haja'certify hiyo copy lazima aone original yake kwanza.

Fanya edit kuweka hvy ambavyo n certified, halafu Tulia fanya mambo mengn, utavikuta vipo.
Hvikwa hz ajira za utumishi, cheti ni lazma ku certify kwa mwanasheria? au naweza ku certify hata mahakaman na wakakikubalia?
 
Back
Top Bottom