Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Barua nitype kwa mashine au niandike kwa mkono then niipeleke pdf? Msaada wadau
 
Barua nitype kwa mashine au niandike kwa mkono then niipeleke pdf? Msaada wadau
Kama wameandika barua iandikwe Kwa kiingereza au Kiswahili utachagua mwenywe pia kama hawajasema NI Kwa format gani hapo utachagua wewe mwenywe
 
Nimelimaliza nikarudia tena,ila hapo sjaoaelewa. Wamesema barua ya maombi itumwe kw anuani hyooooooo. Sas hapo ndipo napouliza hyo barua iwe ya kuandika kwa mkono au typed?
Iyo itype Tu mkuu, pia ukiandika Kwa mkono Sawa Tu, utona mwenywe chaguo zuri hapo
 
Nilivyopitia mimi
Hao daraja la IIIB ni diploma na daraja la IIIC ni degree. Sasa rudi kasome tena utaona diploma wamepewa nafasi chache sana ambazo ni Food and Nutrition na Commerce
Ukija kwa hao daraja la IIIC wao ndio wenye degree na ndio wamepewa nafasi nyingi kwenye
FIZIKIA
MATH
GEOGRAPHY
BAIOLOJIA
Swali langu likawa mbona hayo masomo wapo pia wa Diploma na hawajaweka hapo?
Jibu mbona lilo wazi inamaana kwamba upungufu ulikuwa mwingi kwenye walimu wa level ya degree kuliko hao unaowaongelea
 
Kwaiyo hakuna wa kunisaidia nimesahau username na passwords Kila nikijaribu inakataa
Wapigie utumishi kesho watakusaidia maana ukijaribu kureset huwa inazingua sana sana ! Wapigie mapema
 
Back
Top Bottom