Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Nauliza hivi, mfano ukiomba mikoa kama 7 kwa somo 1 hlf usaili utafanyika sku 1 au hapo sjaelewa bado.
 
Unaweza kuomba masomo mawili tofauti kwakuwa kila somo lina sifa zake lakini utaitwa kwa somo moja ambalo wataona unafaa zaidi!
Utaitwa kote kama unavigezo lakini tatizo linakuja kama usaili umapangiwa siku moja na unafanyika Kwa Mda mmoja kama hapo itabidi uchague kipi unachotaka, kama usaili unafanyika siku tofauti hapo umepona NI kujipanga Tu na nondo za class
 
Nadhani usaili itakuwa siku 1 itakuwa ngumu but let's wait.
 
Yaani niiprint kwanza ndo niiscan au manake ndo naandika hapa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Nilikua sina
Hapo hapo ulipoitype ukisha hakikisha uko Sawa iwekwe iwe kweny pdf then attach kwenye mfumo NI simple hakikisha attachment zote ziwe kwenye pdf mkuu
 
Pitieni na uzi pendwa wa umu JF kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini? mpate madini Zaid kuhusu utumishi
 
Back
Top Bottom