Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hahahaha eti alitaka apangiwe kituo bila interview πππππKwa hili swali, aisee kazi mnayo KMMK π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha eti alitaka apangiwe kituo bila interview πππππKwa hili swali, aisee kazi mnayo KMMK π
Aiseee nampongeza sana Simbachawene! Hakika katika hili ameupiga mwingi pamoja na waziri wa tamisemiIwe printed kvp, kwan c unaweka softcopy kwenye system au sijakuelewa?
Hiyo ilikuwa zamani unaweza kuitwa kote lakini siku hizi unaitwa sehemu moja tuu! Get readyUtaitwa kote kama unavigezo lakini tatizo linakuja kama usaili umapangiwa siku moja na unafanyika Kwa Mda mmoja kama hapo itabidi uchague kipi unachotaka, kama usaili unafanyika siku tofauti hapo umepona NI kujipanga Tu na nondo za class
Angalia program category halafu angalia pia sifa ulizonazo kama zinaendana na nafasi unYotak omba! Kama una degree kazi inayokufaa ni ya degree tuu β¦.Nakutana na rungu moja zito "application failed " ππ
Mmh! Wanaitwa mkuu kikubwa utimize vigezo vyao mkuu, mara ya mwisho kuona hiyo ni za mwaka jana 2023 zile za MDA na LGA watu waliitwa kukandwa mara 2 wengine zilikutanishwa kwa mda mmoja wengine walibahatika mda tofauti na siku tofauti wakaingia kwenye mikando vizuri tuHiyo ilikuwa zamani unaweza kuitwa kote lakini siku hizi unaitwa sehemu moja tuu! Get ready
Shida hapo ni kwenye muda ukibahatila ni vizuriMmh! Wanaitwa mkuu kikubwa utimize vigezo vyao mkuu, mara ya mwisho kuona hiyo ni za mwaka jana 2023 zile za MDA na LGA watu waliitwa kukandwa mara 2 wengine zilikutanishwa kwa mda mmoja wengine walibahatika mda tofauti na siku tofauti wakaingia kwenye mikando vizuri tu
Usicheke mkuu, huyo ndo anakwenda kuja kumfundisha mwanao πAiseee nampongeza sana Simbachawene! Hakika katika hili ameupiga mwingi pamoja na waziri wa tamisemi
Nimecheka sana hilo swali πππππ
Wajiandae na written, practical na Oral π yn kazi wanayo aisee.Hahahaha eti alitaka apangiwe kituo bila interview πππππ
Safi sana mama SamiaSerikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona
View attachment 3047683
---
TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.
TANGAZO LINASEMA HIVI:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015.
NAFASI ZILIZOPO NI HIZI:
1. MWALIMU DARAJA LA III B β SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) NAFASI 23
2. .MWALIMU DARAJA LA III B β KILIMO (AGRICULTURE) NAFASI 29
3. MWALIMU DARAJA LA III B β KIFARANSA (FRENCH) NAFASI 2
4. MWALIMU DARAJA LA III B β SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) NAFASI 2
5. MWALIMU DARAJA LA III B β SOMO LA USHONAJI (TEXTILE) NAFASI 2
6. MWALIMU DARAJA LA III C β KEMIA (CHEMISTRY) NAFASI 544
7. MWALIMU DARAJA LA III C β FIZIKIA (PHYSICS) NAFASI 633
8. MWALIMU DARAJA LA III C β HISABATI (MATHEMATICS) NAFASI 662
9. MWALIMU DARAJA LA III C β BAIOLOJIA (BIOLOGY) NAFASI 515
10. MWALIMU DARAJA LA III C β JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) NAFASI 310
11. MWALIMU DARAJA LA III C β HISTORIA (HISTORY) NAFASI 211
12. MWALIMU DARAJA LA III C β KIINGEREZA ( ENGLISH) NAFASI 412
13. MWALIMU DARAJA LA III C β KISWAHILI NAFASI 184.
Hakuna kitu kama hicho, ht ukiomba siku ya deadline bado n sawa na aliyeomba siku ya kwanzaAnawahi. Ukute first in first out watazingatia mkuu
Kama Taifa bado tunasafari ndefuUsicheke mkuu, huyo ndo anakwenda kuja kumfundisha mwanao π
Eh kumbe kuna watu bado wanaenda Cafe π Mbona h ishu unamalizana nayo ukiwa kitandani na simu yakoNipo cafe hapa nawatupia madogo mbona zinaenda tu zingatia category
Akaunti kuwa na % kubwa sio kigezo wakuu, mana hata ukijaza vibaya bado system itaongeza %Ina 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.
Sema hapa ili usaidiwe na ili iwe kwa manufaa ya wengi humu, Mm nikija pm ntakuambia unilipe ila hilo hilo swali ukiliweka hapa utasaidiwa/nitakusaidia bure πMwenye uelewa mpanga na Aya aje PM msaada tutani wakuu
Na Mm n furaha yangu kuwaona kila mtu akifanikisha jambo lake kwa ufanisi ndio mana kila tatizo ambalo lipo ndan ya uwezo wangu nitawaelekeza.Kaka Mungu akutie nguvu kuwaelekeza walimu ni Kazi sana
OK, kwahy kwenye academic qualifications ulikuwa umeweka vyeti gn tangu mwanzoMimi nilikuwa na account ajira portal mkuu ,sio kwamba Leo ndio naanza kufanya registration..
Wasiliana nao watakusaidia ila kuwa mvumilivu mana wanazingua sana kwenye kupokea simu.Kwaiyo hakuna wa kunisaidia nimesahau username na passwords Kila nikijaribu inakataa
Password inazinguaWasiliana nao watakusaidia ila kuwa mvumilivu mana wanazingua sana kwenye kupokea simu.
Ila mkuu yn mpaka username Umesahau kweli [emoji23]