Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kuna mwalimu yeyote kafanikiwa kufanya application,...

Nyingi Ni failed ...

Huu mfumo sio poa kabisa
 
Nilichogundua hawa waalimu wanatetemeka ata kabla ya usaili😁😁😁
inabidi kwenda nao taratibu
Maaana huu mfumo kwao hawajauzoea ,walizoea wa konba komba yaani ukituma maombi tuu unakaa unakunywa pepsi ya baridi au juisi ya tende unasubiri post umepangwa wapi yaani zile za ubwete ubwete😁😁 utoki jasho maana ata vyeti walikua hawathibitishi kwa wanasharia /mahakamani
Kwao huu mfumo ni usaili tosha
Safari hii kazi wanayo 😂 tena wana Interview tatu Written, practical na Oral 😂
 
Hawa walimu sio tu usaili wapewe na mitihani watakaofaulu ndo wapewe hiyo ajira tuna kundi kubwa la walimu wa hovyo

Naomba viongozi msome hii sms na muifanyie kazi]
Au watakaofaulu interview zote tatu Written, practical na Oral wapewe tena mtihani ili kuthibitisha walifanya vzr kwenye hizo usaili walizofanya 😂
 
Hatari sana... Hili swali nililitegemea kule Facebook ila sio hapa Jf
😂 Interview ya kwanza kabisa ni h kuomba ajira kupitia ajira Portal, kuna wengi sana itafika deadline hawajakamilisha mambo muhimu na ndipo idadi ya kupunguzwa itakapoanzia hapo kabla ya interview yenyewe 😂
 
Wakuu msaada ...
Jamaa ali- certify vyeti vyake mwaka 2019 ,,, jee nakala hizo anaweza kuzitumia katika hizi ajira ,,, au anatakiwa aende tena mahakamani aka-certify na upya ili muhuri usije kuonekana wa zamani mno ???
Hizo hizo
 
Taarifa za mwezi Septemba 2024 zilizovuja ni kwamba, waalimu zaidi ya laki mbili walifanyiwa usaili wa aina tatu
1: Written 2: Practical 3: Oral

Ili wapatikane waalimu 11,000 tuu 😂
Time travelling au sio?
 
Heey! wakuu samahani naomba kuuliza hivi ni laazma CV iwe printed au!!? Yaani katika kuongeza ufanisi inatakiwa iwe hivyo msaada plz👃👃
 
Back
Top Bottom