Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Unakutambua mkuu,watu wameweka mpaka vyeti vya phd mbona na mfumo unakuruhusu kuomba level zote za degree ata kama huko na mastersLakini huu mfumo wa kihuni,kwanini wasiufanye ukawa na uwanda mpana kwa mwombaji kufanya atakacho,sasa mfumo kama nilijisajili nina diploma baadae nikajiendeleza hadi masters unashindwa kunitambua basi kuna shida sehemu.
Wahusika waurekebishe
Ila hautakuruhusu kuomba nafasi za watu wa diploma na certificate ata kama una diploma na certificate