Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Hiyo postgraduate asiiweke kwenye mfumo wake .. akiiewaka tu hatawahi Tena kuomba nafasi za degree kupitia ajira portal
Nilishaweka mkuu hata tangazo linahitaji qualification ya postgraduate ila Bado
 
Attachments

  • markup_1000117093.png
    markup_1000117093.png
    199.2 KB · Views: 12
Limits ya kuomba ni mwisho mikoa mingapi? Na je unaweza kuomba Kwa masomo mawili tofauti?
Kwa majibu ya wadau huko juu.

Km ulisoma masomo mawil unaweza omba kwa kila somo, yaan somo moja mkoa 1. Hvo utaomba mikoa miwili.

Ila usaili utaitwa ambako wao wanaona unafit
 
Pitia vizuri Tangazo sijaona waliposema unachagua mkoa
Nenda chini kwenye masharti ya jumla wameweka maelezo yote
Wakuu jitahidini sana kulisoma tangazo mkaelewa nyie walimu tunaowategemea,msikimbilie kutuma maombi tu wakati hata tangazo hujasoma lote ukaelewa
 
Hakuna limit, Halafu ukiomba Mkoa mmoja hiyo hy application itatumika kwenye mikoa yote ambayo wanamuhitaj mtu wa kazi hy
 
Umakini muhimu sana lasivyo job application failed zitakuwa kama njugu

Mchujo stage one
 
Kwa majibu ya wadau huko juu.

Km ulisoma masomo mawil unaweza omba kwa kila somo, yaan somo moja mkoa 1. Hvo utaomba mikoa miwili.

Ila usaili utaitwa ambako wao wanaona unafit
Hakuna cha kuomba mikoa miwili, em soma comments vzr msije kuingia chaka huko kwenye akaunti zenu.

Barua moja inatumika kwenye mikoa yote ambayo wanataka mwalimu wa aina hy hy
 
Hakuna limit, Halafu ukiomba Mkoa mmoja hiyo hy application itatumika kwenye mikoa yote ambayo wanamuhitaj mtu wa kazi hy
Mbaga Jr usicheke mimi kunipa interview afadhali unizabe makofi😂

wengine tumeumbiwa kutetemeka

kila nikipitia machapisho yako unavotilia mkazo suala la interview nashikwa huzuni na mapigo yangu ya moyo yanakwenda mbio sana
 
Hakuna cha kuomba mikoa miwili, em soma comments vzr msije kuingia chaka huko kwenye akaunti zenu.

Barua moja inatumika kwenye mikoa yote ambayo wanataka mwalimu wa aina hy hy
Sasa mbona kwenye ajira portal wamezigawa kila mkoa kwa kila somo
 
Back
Top Bottom