Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Hiyo postgraduate certificate itakuwa kama ni added advantage kwenye nafasi uliyoomba.

Mathalani wanahitajika Walimu wa Shahada ya kwanza, wewe unaweza kuomba kwakuwa una degree tayari lakini hiyo postgraduate certificate yako itakusaidia mbele ya safari Kazini
Hiyo postgraduate asiiweke kwenye mfumo wake .. akiiewaka tu hatawahi Tena kuomba nafasi za degree kupitia ajira portal
 
Ina 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.
Wewe una sifa gani na unaomba nafasi gani? Kuna na asilimia 92 haimaanishi kila jambo liko sawa
 
Hii ndo njia bora MTU smart anajiandaa anaenda mzigoni simple and easily .

Tukutane Ajira portal sasa.

Siku ya usaili ntafanya mazoezi makubwa Sana mpaka utumishi watashangaa.
Mkuu soma soma tuu utatoboa
 
Nadhani ndiyo sababu Kuna mdau hapo juu kwenye post #92 ameonesha kukataliwa na mfumo kwasababu hiyo
Ku over quarify huwa ni kwa mwenye diploma kuomba nafasi ya ngazi ya chetii,au mwenye degree kuomba nafasi ya ngazi ya diploma
Lakini mwenye masters au postgraduate diploma inamkubalia kuomba nafasi zote zinahitaji mtu mwenye degree
Karibu
 
Nadhani ndiyo sababu Kuna mdau hapo juu kwenye post #92 ameonesha kukataliwa na mfumo kwasababu hiyo
Huu mfumo wa ajira portal ni mfumo wa kibabe Sana kwa hyo vijana wanaoomba ajira hizi wa ualimu wawe nao makini . Usipogonga vyeti vyako kwa mwanasheria huitwi kwenye interview, usipoweka passport vizuri kwenye mfumo huitwi kwenye usaili Yan Mambo madogo yanakutoa mchezoni kizembe. Vijana wa education wawe makini Sana maana ni wageni wa mfumo.
 
Nadhani Walimu itakuwa Kwa mara ya kwanza nao wanaingia kwenye mfumo wa Usaili

Unakuta wameitwa watu 150k halafu wanaohitajika ni 11k 🙌
 
Back
Top Bottom