chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Ndio IIIA hao mkuu.Hivi serikali siku hizi haiajiri walimu wenye certificate??
IIIB- Diploma
IIIC- Bachelor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio IIIA hao mkuu.Hivi serikali siku hizi haiajiri walimu wenye certificate??
Wanaangalia uhqba uko wapi hizi nafasi kila halmashauri au mkoa umetoa takwimu za upungufu wake na zimetangazwa kulingana na uoungufu wa mHapo kwenye walimu daraja la IIIB masharti yake yatabeba wachache sana.
Hapo kwenye IIIC ni sawa lakini kwa masomo hayo hayo wapo walimu daraja IIIB nao Wanayo masomo hayo hayo yaani Fizikia, Mathematics, GEO, Kiswahili na mengineyo mbona wao hawajawa included.?
SafiWanaangalia uhqba uko wapi hizi nafasi kila halmashauri au mkoa umetoa takwimu za upungufu wake na zimetangazwa kulingana na uoungufu wa m
oa husika,hivyo pia zingatia ngazi ya elimu stashahada (diploma) nq shahada (degree)
Kwa mfano mkuu una degree afu ukafanya postgraduate diploma ya education inakuwaje apo naona mfumo unanigomeaPole Mkuu
Unaweza kuwapigia wataalamu wao wakuelekeze.
Iwapo watashindwa kupokea simu yako, ingia pale kwenye website yao andika hiyo complain yako ile sehemu wameandika wasiliana nasi...
Ukiandika pale ujumbe wako, watakupigia wao wenyewe iwapo utaacha na mawasiliano yako, maana Siku hizi wakubwa wao wanapitia sana kusoma maoni yanayotumwa pale
Unakubali vizuri tu ata Tangazo limesoma unaweza kuombaKwa mfano mkuu una degree afu ukafanya postgraduate diploma ya education inakuwaje apo naona mfumo unanigomea
utumishiHili Tangazo lipo site gan?
Niki applyUnakubali vizuri tu ata Tangazo limesoma unaweza kuomba
Wapi unakwama?
Unaomba mkoa mmoja na zitaji-tik kwenye mikoa yote ambayo hy post ya kazi zipoHivi hapo kwa mfano kwenye chemistry naweza apply kila mkoa kwa sababu zimegawanywa.?
Hiyo postgraduate certificate itakuwa kama ni added advantage kwenye nafasi uliyoomba.Kwa mfano mkuu una degree afu ukafanya postgraduate diploma ya education inakuwaje apo naona mfumo unanigomea
Ndio mkuu ukirudi hapo kwenye post namba 92 utaona viambatanisho nadhani mfumo haijakaa sawaHiyo postgraduate certificate itakuwa kama ni added advantage kwenye nafasi uliyoomba.
Mathalani wanahitajika Walimu wa Shahada ya kwanza, wewe unaweza kuomba kwakuwa una degree tayari lakini hiyo postgraduate certificate yako itakusaidia mbele ya safari Kazini
Kama ni hivyo kiondoe kwenye mfumo hicho cheti.Ndio mkuu ukirudi hapo kwenye post namba 92 utaona viambatanisho nadhani mfumo haijakaa sawa
Haikubali kabisa mkuu Yaani ukishwaweka umeweka hamna sehemu ya kufanya hata editing na wao pia wameeleza kwa huwezi kuondoa ukishawekaKama ni hivyo kiondoe kwenye mfumo hicho cheti.
Utakionesha ukishaingia Kazini na kuthibitishwa baada ya Mwaka mmoja wa ajira
Tulia mwalimu usipanic wewe jiandae kwa loloteHao walimu walifanyia usaili wapi na waliitwa Kwa Namna gani mkuu?