Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Mchakato this time ni mrefu, utumishi wana mlolongo siyo kama TAMISEMI wao walikuwa wanajifungia ofisini wanagawana nafasi then wanaachia.
Mkuu huwez jua kugawana nafasi kupo tu ata huko utumishi inawezekana wakagawana pia. Cha msingi kuwa na imani muda wako utafika mkuu ata wakigawana nawewe utakuwemo mkuu
 
Mkuu huwez jua kugawana nafasi kupo tu ata huko utumishi inawezekana wakagawana pia. Cha msingi kuwa na imani muda wako utafika mkuu ata wakigawana nawewe utakuwemo mkuu
Mimi Wala sihusiki na ajira hizi natoa maoni tu, nimesema utumishi wana mlolongo mrefu kuliko TAMISEMI. Angalia hata tangazo la utumishi lipo kiprofesional zaidi.
 
Lakin bado nina kigugumiz juu ya usaili. Kuna mtu kamaliza 2015 na hata sehem ya kujitolea kufundishq alikosa akaamuq kujikita kwenye bodaboda, Leo unatangaza ajira na unamuingiza kwenye usaili na Graduate wa 2023 fresh kabisaa kutoka chuo, kichwa bado cha moto. Freshers ananafasi nzuri zaidi ya kupita kwenye usaili na kupata ajira huku yule wa 2015 akiendelea kufukuza upepo
Nikweli mkuu
 
Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona

View attachment 3047683
---
TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.

TANGAZO LINASEMA HIVI:

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015.

NAFASI ZILIZOPO NI HIZI:

1. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) NAFASI 23

2. .MWALIMU DARAJA LA III B – KILIMO (AGRICULTURE) NAFASI 29

3. MWALIMU DARAJA LA III B – KIFARANSA (FRENCH) NAFASI 2

4. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) NAFASI 2

5. MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (TEXTILE) NAFASI 2

6. MWALIMU DARAJA LA III C – KEMIA (CHEMISTRY) NAFASI 544

7. MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) NAFASI 633

8. MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) NAFASI 662

9. MWALIMU DARAJA LA III C – BAIOLOJIA (BIOLOGY) NAFASI 515

10. MWALIMU DARAJA LA III C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) NAFASI 310

11. MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) NAFASI 211

12. MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA ( ENGLISH) NAFASI 412

13. MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI NAFASI 184.
U C H A G U Z I U M E W A D I A.
 
Au sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂

Mchujo na wote kupita mbona haviendani?? Wanachuja ili wapite wachache wenye sifa zaidi katika wengi. Nadhani itakua hivi, mathalani wameomba watu laki mbili, wanapigwa pepa moja zito la taaluma zao, atakaefaulu anaenda next step. Hapo next step, kama ni practical au ni oral, napo unapigwa maswali mazito ya fani yako na ukionesha umahiri ukapita unapata kazi.
 
Hivi serikali siku hizi haiajiri walimu wenye certificate??
 
Back
Top Bottom