Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Nyie wa English Language kwenye interview mtakua mnaulizwa Kwa kiswahili mtatakiwa mjibu kwa kiingeza
Interviewer: Kwema ndugu mwalimu?

Mwalimu: I'm fine

Interviewer: Wewe ni shabiki wa timu gani hapa Tanzania?

Mwalimu: Simba, I like Simba very much. I'm a Simba fan, Sir!

Interviewer: Aaaah safi sana, Sasa Ile ubaya ubwela, hivi ubwela ni nini kwa kiingereza ndugu mwalimu?

Mwalimu: Ubwela is theee ubwela is thee,,, theee
Interview zote ni kwa kingereza
 
Au sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂
Kwani wengine wanafanyaje? Wewe ni mgeni wa interview? Hapo kuna written mchujo na zinafanyika kwa kanda halafu inakuja ya kuongea inafanyika kwa kanda pia! Hongera sana Simba chawene sasa walimu wanafanya interview😂😂😂😂😭
 
Dogo langu amesoma literature in english kweny tangazo wameandika English literature, je anaweza omba hapo au hiz ni tofaut kabisa?
Kama kasoma na ualimu anaweza ku9mba ila kama hajasoma ualimu kasoma tu literature in english akae mbali😂
 
Hiyo postgraduate certificate itakuwa kama ni added advantage kwenye nafasi uliyoomba.

Mathalani wanahitajika Walimu wa Shahada ya kwanza, wewe unaweza kuomba kwakuwa una degree tayari lakini hiyo postgraduate certificate yako itakusaidia mbele ya safari Kazini
Hapana iko hvi
Wapo waliosoma shahada ambazo si za ualimu mfano comupter sciemce au bachelor ya mathematics n.k ambazo si za ualimu ila akasoma na postgratuate diploma in education anaruhusiwa kuomba na ata Tangazo limeweka wazi
Kama hunaelewa u aruhusiwa kuuliza
 
Hapana iko hvi
Wapo waliosoma shahada ambazo si za ualimu mfano comupter sciemce au bachelor ya mathematics n.k ambazo si za ualimu ila akasoma na postgratuate diploma in education anaruhusiwa kuomba na ata Tangazo limeweka wazi
Kama hunaelewa u aruhusiwa kuuliza
Shukrani Kwa Elimu.

Nategemea waombaji wameelewa
 
Back
Top Bottom