Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Ajira za Utumishi unazijua? Na siku zote wanavyo tangaza huwa wanasema kuna usaili??
Nazijua mkuu na nimeomba na kufanya usaili mara kadhaa,but sikuwahi sikia usaili kwa kada ya ualimu. Itakuwa ni utaratibu mpya umeanza.
 
Hakuna usaili nadhani
Bora iwe hivyo bhan maana kuna sister wangu kajichimbia huko privet moja anavuta 980K per month
Free house
Free umeme & maji
Free bima
Free food (asubuhi mpaka usiku)
Kila ijumaa wanapewa 30K
Shamba heka 5

Mwanafunzi akipata A mwalimu unapewa Buku ten
B Buku tano(mitihani ya ndani)

Ila wanatabia ukiomba kazi sehemu Nyingine wakajua hawakuongezei mkataba

Sasa kama kuna usahili itakuwa tizi
Masomo yake ni Phy Na mathematics
 
Apo kipengele mkuu lazima lkn usail uwepo kozi ni waombaji ni wengi
 
Umejaza profile yako vizuri Mkuu?

Maana inashauriwa ili uitwe kwenye interview profile yako walau ifike kuanzia asilimia 75 kwenda juu.

Ukiwa below Kuna possibility kubwa usiwe unaitwa kushiriki hizo interviews
Ina 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.
 
Ina 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.
Pole Mkuu

Unaweza kuwapigia wataalamu wao wakuelekeze.

Iwapo watashindwa kupokea simu yako, ingia pale kwenye website yao andika hiyo complain yako ile sehemu wameandika wasiliana nasi...

Ukiandika pale ujumbe wako, watakupigia wao wenyewe iwapo utaacha na mawasiliano yako, maana Siku hizi wakubwa wao wanapitia sana kusoma maoni yanayotumwa pale
 
Back
Top Bottom