Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kwani vigezo vinasemaje kuhusu watu wenye post graduate Diploma? Kwani Tangazo limeficha?
Tangazo linawaruhusu kuomba ila mfumo bado miyeyusho unawaambia application failed
Ict team inatakiwa walifanyie kazi haraka iwezekanavyo
 
Aisee wakuu nakata tamaa sasa. Picha imegoma kabisa kubadilika kwenye profile, sijui nafanyaje tena. Tangu jana nahangaika kutoa picha iliokuwepo. Hadi sasa hakuna majibu. Nisaidieni tafadhali
Nenda stationary wakusaidie usijifungie ndani wambie wakuwrekee vipimo vya 120*150 pixel
 
Tangazo linawaruhusu kuomba ila mfumo bado miyeyusho unawaambia application failed
Ict team inatakiwa walifanyie kazi haraka iwezekanavyo
Ikikwambie failed lazima kuna makosa uliyoyafanya sehemu chunguza sifa zako na unacho omba na chunguza kila kipengele ! Na ikisema failed inaandika na reasons…. Tell us
 
Tayari nishatuma maombi ,natafuna popcorn hapa na juisi ya tende kusubili pdf ya kupangiwa Kazi🔥🔥😂

Mama Samia oyeeeee
Pia usijisahau kuanza kusoma soma kuhusu kazi uliyoomba
 
Huu mfumo mnaona unashida kwakuwa wengine walikuwa hawautumii kabisa!
Mkiuzoea wala utosema hayo
 
Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]

4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa

7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.

Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu.
 
Shukrani mkuu...kwa angalizo... Samahani Cheri Cha kuzaliwa kinawekwa kwenye other attachment au ? Naona nimefanya application tayari na profile Ina 91 lakini Cheri Cha kuzaliwa sion kwa kuweka
 
Umeomba kazi ambayo haina vigezo vyako? Maana hapo inaonesha vigezo ulivyonavyo haviendani na kazi unayo iomba! Tulia nagalia kwa makini kila ulichojaza! Wewe una degree gani na unaomba nini?
 
Nimelimaliza nikarudia tena,ila hapo sjaoaelewa. Wamesema barua ya maombi itumwe kw anuani hyooooooo. Sas hapo ndipo napouliza hyo barua iwe ya kuandika kwa mkono au typed?
Andika kwa mkono mkuu
 
Nimesahau password ya email niliyotumia kabla.
Napiga simu hawapokei, email hawajibu Leo siku ya pili.
Sijafanya chochote
 
Kama nimesoma BED ADEC au PPM ambapo masomo yangu ya kufundishia Geography na HISTORY nafanyaje.
Mkuu nimesoma Bed Adec nimejaribu kuomba jana kwa somo la historia ikakubali. Na ikanionesha nimesha apply katika daraja husika katika mikoa yote.
 
kuna jamaa nimekutana nae anasema, mimi nimeachana na kazi ya ualimu sahz ni wakala wa mpesa, tigo nk. nyinyi mnaangaika na kuapply ualimu mmelogwa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…