EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
cracked zipo mbonakascan tu stationery mzee, shida ya nini? Vinginevyo uwe na camscanner ya kulipia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cracked zipo mbonakascan tu stationery mzee, shida ya nini? Vinginevyo uwe na camscanner ya kulipia.
Muelekeze pa kuzipata.cracked zipo mbona
apk. googleMuelekeze pa kuzipata.
Naomba unielekeze tafadhal unafanyaje plz napiga sim hawapokei
Tangazo linawaruhusu kuomba ila mfumo bado miyeyusho unawaambia application failedKwani vigezo vinasemaje kuhusu watu wenye post graduate Diploma? Kwani Tangazo limeficha?
Ndio inawezekanaivi inawezekana ukaapply mara mbili i mean ukaapply masomo yote mawili moja moja separately?
Nenda stationary wakusaidie usijifungie ndani wambie wakuwrekee vipimo vya 120*150 pixelAisee wakuu nakata tamaa sasa. Picha imegoma kabisa kubadilika kwenye profile, sijui nafanyaje tena. Tangu jana nahangaika kutoa picha iliokuwepo. Hadi sasa hakuna majibu. Nisaidieni tafadhali
Ikikwambie failed lazima kuna makosa uliyoyafanya sehemu chunguza sifa zako na unacho omba na chunguza kila kipengele ! Na ikisema failed inaandika na reasons…. Tell usTangazo linawaruhusu kuomba ila mfumo bado miyeyusho unawaambia application failed
Ict team inatakiwa walifanyie kazi haraka iwezekanavyo
Pia usijisahau kuanza kusoma soma kuhusu kazi uliyoombaTayari nishatuma maombi ,natafuna popcorn hapa na juisi ya tende kusubili pdf ya kupangiwa Kazi🔥🔥😂
Mama Samia oyeeeee
Huu mfumo mnaona unashida kwakuwa wengine walikuwa hawautumii kabisa!Kuna demu Jana usiku SHE (Dada yangu) alikuwa hajui chochote kuhusu huu mfumo but kakomaa nao mpaka kajaza asilimia 98% then akaapply
Alichosema yeye njia rahisi ya huu mfumo ni kwenda nao step one to another usiruke step
Pia inaoneka mfumo wenyewe pia developer wapo kazini pia kufix matatizo ya mfumo
Shukrani mkuu...kwa angalizo... Samahani Cheri Cha kuzaliwa kinawekwa kwenye other attachment au ? Naona nimefanya application tayari na profile Ina 91 lakini Cheri Cha kuzaliwa sion kwa kuwekaKwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]
4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa
7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.
Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu.
Other Attachment utaweka hapo Birth certificate, cvShukrani mkuu...kwa angalizo... Samahani Cheri Cha kuzaliwa kinawekwa kwenye other attachment au ? Naona nimefanya application tayari na profile Ina 91 lakini Cheri Cha kuzaliwa sion kwa kuweka
Nenda stationary kama maana sidhani kama unaelewa! Peleka hiyo picha stationary wskusaidieNgoja nisubiri tu. Unachokieleza nimeshakirudia zaidi ya mara 50 na bado hakileti majibu
Umeomba kazi ambayo haina vigezo vyako? Maana hapo inaonesha vigezo ulivyonavyo haviendani na kazi unayo iomba! Tulia nagalia kwa makini kila ulichojaza! Wewe una degree gani na unaomba nini?Duuu nimechoka kwa kweli hebu tusaidiane wenzangu kwangu nimeapply wakaniambia KON APPLICATION FAILED you can not apply for the job post CHECK REQUIRED BACHELOR DEGREE PROGRAM please read carefully and understand JOB POST QUALIFICATION REQUIREMENT before applying
Thank you degree program yangu ni Bachelor of education in adult and community education bed ace
Andika kwa mkono mkuuNimelimaliza nikarudia tena,ila hapo sjaoaelewa. Wamesema barua ya maombi itumwe kw anuani hyooooooo. Sas hapo ndipo napouliza hyo barua iwe ya kuandika kwa mkono au typed?
Walimu wenzangu tujiandae tu na usaili maana mambo yamebadilika.Interview ni lazima..walimu jiandaeni View attachment 3048315
Mkuu nimesoma Bed Adec nimejaribu kuomba jana kwa somo la historia ikakubali. Na ikanionesha nimesha apply katika daraja husika katika mikoa yote.Kama nimesoma BED ADEC au PPM ambapo masomo yangu ya kufundishia Geography na HISTORY nafanyaje.