Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Bado nikitaka kuweka personal details kwenye sehemu ya nida
 
Attachments

  • Screenshot_20240725-175439.png
    143.8 KB · Views: 5
Mkuu kuna jamaa angu anadai kwenye address ya mpokeaje pale mwanzo sehemu ya kuanza na KATIBU, yeye kamalizia KATIBU WA SEKRETARIETI na chini imeendelea kama kawaida na box lile lile je ,hilo neno aliloongeza mbele lina shida?
Akopi anwani jinsi inavyoonekana kwenye Tangazo.

Barua unaweza kuedit na kuweka kwa usahihi kabla deadline haijafika.

Deadline ikifika hautaweza kuedit barua tena
 
Naomba kuuliza, sjatumiw sms ya kuninotify km maombi yamefika,lkn kwny profile inaonesha received. Nimeapply tar 22 had leo sjaona sms kw email ,kuna shida hapo?
Sio lazima upate hiyo sms. Maombi yashapokelewa
 
Endelea kuwapigia hadi wapokee.

NOTE: Hakikisha hausahau(tunza) Password ili kuepusha kuhangaika baadae kama hivi sasa
 
Account yangu Ina 92% maombi nimetuma imeandika received apo ni tayari yamefika wakuu?
 
Akopi anwani jinsi inavyoonekana kwenye Tangazo.

Barua unaweza kuedit na kuweka kwa usahihi kabla deadline haijafika.

Deadline ikifika hautaweza kuedit barua tena
Kimemlamba tayari ni wa afya uyu deadline tayari, daah sijuhi kama watamfikiria ,kaainisha neno dogo tu mbele
 
Hii hapa
 
Wanaita Kwa njia zipi pdf au kupiga simu?
PDF

Tembelea section ya Call for Interview kwenye ajira portal uone jinsi wanavyoita watu kwenye Interview.

Pia kupitia Akaunti yako ya PSRS(huku kwenye akaunti ndio utapewa na sababu ya kosa lako endapo usipoitwa)
 
Aombe Mungu anaweza kuitwa kimiujiza
Kuna zingine tuna direct kwa katibu wa bunge, ndo maana na hizo akaandika katibu wa sekretarieti, yani kama watamtoa kwa kigezo icho alaaah kuna makosa zaidi ya hayo madogo madogo, basi mfumo uko very strictly
 
Ajira zote ukiwa unaomba kupitia PSRS, barua huwa zinaelekezwa kwa

Katibu,
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
S. L. P 2320,
DODOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…