Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Nenda kwenye email yako bonyeza neno forget password .Baada ya kubongeza italuletea Type your email
Pia kwa chini kuna maneno yameandikwa kwa repicha
Type hayo maneno then submit ,ukisha submit watakuandikia reset password sent to your email .Baada kama dk 2 watakutumia link ya inasema Activate your account yako rangi ya Blue Bonyeza hayo maneno itakuletea inter new password na confirm new password kwa chini Kuna neno Change .ukishabonyeza neno change itakuandikia continue Click Hilo neno continue hapo utakuwa umabadili neno la Siri au Password .Mfano wa password utakayoweka andika Ngara@1990 fanya hivo uendelee na maombi
Bado nikitaka kuweka personal details kwenye sehemu ya nida
 

Attachments

  • Screenshot_20240725-175439.png
    Screenshot_20240725-175439.png
    143.8 KB · Views: 5
Mkuu kuna jamaa angu anadai kwenye address ya mpokeaje pale mwanzo sehemu ya kuanza na KATIBU, yeye kamalizia KATIBU WA SEKRETARIETI na chini imeendelea kama kawaida na box lile lile je ,hilo neno aliloongeza mbele lina shida?
Akopi anwani jinsi inavyoonekana kwenye Tangazo.

Barua unaweza kuedit na kuweka kwa usahihi kabla deadline haijafika.

Deadline ikifika hautaweza kuedit barua tena
 
Naomba kuuliza, sjatumiw sms ya kuninotify km maombi yamefika,lkn kwny profile inaonesha received. Nimeapply tar 22 had leo sjaona sms kw email ,kuna shida hapo?
Sio lazima upate hiyo sms. Maombi yashapokelewa
 
Ila huu mtandao nao changamoto sana ..

Juzi wakati namfungilia account mtu .. ikaandika account inactive ,,tukaangaika wee tukatumiwa Email ya kureset email ,, baada ya hapo tukatengeneza password mpya .. tukaingia ndani ya mfumo na kufanikiwa kujaza kilakitu kilichotakiwa na kutuma maombi ...

Sasa leo,, tumejaribu ku - log in inaniandikia incorrect log in ,, tumejaribu kuomba email verification ili nitengeneze password mpya ,,chaajabu hawanitumii ,,, tukasema tuwapigie simu hazipokelewi kabisaa sasa mtu unakosa mawazo ni hatua gani uchukue
Endelea kuwapigia hadi wapokee.

NOTE: Hakikisha hausahau(tunza) Password ili kuepusha kuhangaika baadae kama hivi sasa
 
Account yangu Ina 92% maombi nimetuma imeandika received apo ni tayari yamefika wakuu?
 
Akopi anwani jinsi inavyoonekana kwenye Tangazo.

Barua unaweza kuedit na kuweka kwa usahihi kabla deadline haijafika.

Deadline ikifika hautaweza kuedit barua tena
Kimemlamba tayari ni wa afya uyu deadline tayari, daah sijuhi kama watamfikiria ,kaainisha neno dogo tu mbele
 
Duuu nimechoka kwa kweli hebu tusaidiane wenzangu kwangu nimeapply wakaniambia KON APPLICATION FAILED you can not apply for the job post CHECK REQUIRED BACHELOR DEGREE PROGRAM please read carefully and understand JOB POST QUALIFICATION REQUIREMENT before applying
Thank you degree program yangu ni Bachelor of education in adult and community education bed ace

Hii hapa
Screenshot_20240725-185549 (1).jpg
 
Wanaita Kwa njia zipi pdf au kupiga simu?
PDF

Tembelea section ya Call for Interview kwenye ajira portal uone jinsi wanavyoita watu kwenye Interview.

Pia kupitia Akaunti yako ya PSRS(huku kwenye akaunti ndio utapewa na sababu ya kosa lako endapo usipoitwa)
 
Aombe Mungu anaweza kuitwa kimiujiza
Kuna zingine tuna direct kwa katibu wa bunge, ndo maana na hizo akaandika katibu wa sekretarieti, yani kama watamtoa kwa kigezo icho alaaah kuna makosa zaidi ya hayo madogo madogo, basi mfumo uko very strictly
 
Kuna zingine tuna direct kwa katibu wa bunge, ndo maana na hizo akaandika katibu wa sekretarieti, yani kama watamtoa kwa kigezo icho alaaah kuna makosa zaidi ya hayo madogo madogo, basi mfumo uko very strictly
Ajira zote ukiwa unaomba kupitia PSRS, barua huwa zinaelekezwa kwa

Katibu,
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
S. L. P 2320,
DODOMA
 
Back
Top Bottom