Sidhani kama italeta shida. Kwani, huyo si ni katibu wa sekretarieti??Ni sahihi ni hapa ,sasa yeye alichokosea icho alichoongezea hapo kwa katibu wa iyo tume. Sasa swali lilikuwa anaweza bahatika au kayakanyaga?
Mkuu umepata msaada? Kama bado wacheki ict kwa email waambie tatizo lako watabadili uliyojaribu kuwekaAisee wakuu nakata tamaa sasa. Picha imegoma kabisa kubadilika kwenye profile, sijui nafanyaje tena. Tangu jana nahangaika kutoa picha iliokuwepo. Hadi sasa hakuna majibu. Nisaidieni tafadhali
Kashapata mtaji huyo ukiona ivokuna jamaa nimekutana nae anasema, mimi nimeachana na kazi ya ualimu sahz ni wakala wa mpesa, tigo nk. nyinyi mnaangaika na kuapply ualimu mmelogwa.?
Ndio mkuuSidhani kama italeta shida. Kwani, huyo si ni katibu wa sekretarieti??
Hapo sijui.Ni sahihi ni hapa ,sasa yeye alichokosea icho alichoongezea hapo kwa katibu wa iyo tume. Sasa swali lilikuwa anaweza bahatika au kayakanyaga?
Watumie email ya kutoa hizo wataondoa waoSalaam wakuu....
Nauliza iwapo upo uwezekano wa kuondoa vyeti nilivyoambatanisha kwenye maombi yangu pale kwenye academic qualification na kuweka vingine, zipo changamoto nimezibaini kwenye maombi niliyokwisha yatuma hivyo nahitaji kubadili vyeti vyotee. Nimejaribu kuondoa vyeti vilivyopo imeshindikana kabisa.
Asante saana mkuu alifanikisha kuomba janaKama hujapata msaada. Angalia hapaView attachment 3051744
Ndio ninacho maanishaHakuna copy inaprintiwa moja kwa moja kwa mfumo wao ambayo nimerenew mpya, au ndio iyo ukiprint hardcopy then ile hardcopy utoe copy ndio ikapigwe muhuri?
Hakuna shida usihofu kinachozingatiwa hapo ni sahihiMkuu kuna jamaa angu anadai kwenye address ya mpokeaje pale mwanzo sehemu ya kuanza na KATIBU, yeye kamalizia KATIBU WA SEKRETARIETI na chini imeendelea kama kawaida na box lile lile je ,hilo neno aliloongeza mbele lina shida?
Wapigie watakupaNimejaribu ila sijatimia password mpya.
Ambayo naweza kutumia kwenye device nyingine.
Maana hii nimejaribu kwenye cm
Hata hiyo leseni print upeleke copy ku certifyNa leseni tunatakiwa kucertify au ni cheti chake husika kwa kada zenye vyeti vya boards
Kama uliweza kuingia na leo inakwambia incorect log in! There must be incorrect log in! Just call them and ask or try to think the last passwords you have just entered!Ila huu mtandao nao changamoto sana ..
Juzi wakati namfungilia account mtu .. ikaandika account inactive ,,tukaangaika wee tukatumiwa Email ya kureset email ,, baada ya hapo tukatengeneza password mpya .. tukaingia ndani ya mfumo na kufanikiwa kujaza kilakitu kilichotakiwa na kutuma maombi ...
Sasa leo,, tumejaribu ku - log in inaniandikia incorrect log in ,, tumejaribu kuomba email verification ili nitengeneze password mpya ,,chaajabu hawanitumii ,,, tukasema tuwapigie simu hazipokelewi kabisaa sasa mtu unakosa mawazo ni hatua gani uchukue
Tayari yamefika ! Anza mazoezi ya kusoma na kufanya interviewNaomba kuuliza, sjatumiw sms ya kuninotify km maombi yamefika,lkn kwny profile inaonesha received. Nimeapply tar 22 had leo sjaona sms kw email ,kuna shida hapo?
Okay nikajua kwa sababu cheti na leseni yake vipo pamoja,muhimu muhuri kwenye cheti tu cha taasis hiyo kumbe adi leseni yake tunayorenew kila mwakaNdio ninacho maanisha
Hakuna shida usihofu kinachozingatiwa hapo ni sahihi
Mtu akiwa na muandiko mzuri kama huu naweza kumshauri aandike barua kwa mkono, ila wenzangu na Mm wenye miandiko ya kidaktari aisee fanyeni typing tuu 😎
🤣🤣🤣🤣🤣Mtu akiwa na muandiko mzuri kama huu naweza kumshauri aandike barua kwa mkono, ila wenzangu na Mm wenye miandiko ya kidaktari aisee fanyeni typing tuu 😎