Ila huu mtandao nao changamoto sana ..
Juzi wakati namfungilia account mtu .. ikaandika account inactive ,,tukaangaika wee tukatumiwa Email ya kureset email ,, baada ya hapo tukatengeneza password mpya .. tukaingia ndani ya mfumo na kufanikiwa kujaza kilakitu kilichotakiwa na kutuma maombi ...
Sasa leo,, tumejaribu ku - log in inaniandikia incorrect log in ,, tumejaribu kuomba email verification ili nitengeneze password mpya ,,chaajabu hawanitumii ,,, tukasema tuwapigie simu hazipokelewi kabisaa sasa mtu unakosa mawazo ni hatua gani uchukue