Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Kada yako itakuwa ilikuwa na watu wachache au walipitiwa katika kuchagua😂Nilishaitwa Mimi Mara moja bila kucertify vyeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada yako itakuwa ilikuwa na watu wachache au walipitiwa katika kuchagua😂Nilishaitwa Mimi Mara moja bila kucertify vyeti
Hapana hata utendaji kata (WEO) wanaomba hata utumishi huwa wanazitangaza hiyo ya kuweka mtu tuu ilikuwa zamani sana! Siku hizi zinatangazwa kuanzia kijiji hadi Kata! Ukitembelea ajira portal unaweza ukazikuta
uthibitisho wa hoja yako kama kuna Akira za utendaji wa kata(WEO) zinazotangazwa
Leta uthibitisho wa tangazo la utendaji wa kata(WEO), ukiwa unahangaika kupata hicho kitu ndo utagundua kumbe umekaa bila taarifa za maana Kwa muda mrefu.Hapana hata utendaji kata (WEO) wanaomba hata utumishi huwa wanazitangaza hiyo ya kuweka mtu tuu ilikuwa zamani sana! Siku hizi zinatangazwa kuanzia kijiji hadi Kata! Ukitembelea ajira portal unaweza ukazikuta …
😀😀😀 unazingua ww tangu lini mtendaji kata anateuliwa?
Au unaongelea madiwani viti maalumu?
Kuteuliwa ni wakuu wa wilaya,wakurugenzi,DAS,na ngazi zingine za juu
Mtendaji kata nafasi utangazwa watu wanaomba au anapandishwa cheo mtendaji wa mtaa kama ana sifa na vige
Ziko namna nyingi za kuwapata watendaji wa kata kama ulivyoeleza, lakini si Kwa namna ya kutangazwa na kuomba kama ajira zingine. Nioneshe tangazo la ajira za watendaji wa kata(WEO) Kwa miaka mitatu ya hivi karibuni mimi ntakuonesha bus lenye matairi mawili.😀😀😀 unazingua ww tangu lini mtendaji kata anateuliwa?
Au unaongelea madiwani viti maalumu?
Kuteuliwa ni wakuu wa wilaya,wakurugenzi,DAS,na ngazi zingine za juu
Mtendaji kata nafasi utangazwa watu wanaomba au anapandishwa cheo mtendaji wa mtaa kama ana sifa na vigezo
Ilikuwa mwaka gnNilishaitwa Mimi Mara moja bila kucertify vyeti
2023 julyIlikuwa mwaka gn
Aisee2023 july
Acha ligi mkuu,hakuna mtendaji wa kata anayeteuliwaZiko namna nyingi za kuwapata watendaji wa kata kama ulivyoeleza, lakini si Kwa namna ya kutangazwa na kuomba kama ajira zingine. Nioneshe tangazo la ajira za watendaji wa kata(WEO) Kwa miaka mitatu ya hivi karibuni mimi ntakuonesha bus lenye matairi mawili.
🤣🤣🤣🤣Kwa hili swali, aisee kazi mnayo KMMK 😂
Ajira za watendaji wa kata hazitangazwi kwa sasa kwa sababu wengi wa watendaji wa vijiji wanajiendeleza na kupandishwa kuwa watendaji wa kata, ndio maana kwa sasa uhaba hakuna, ila ni ajira kama ajira zingine.Leta uthibitisho wa tangazo la utendaji wa kata(WEO), ukiwa unahangaika kupata hicho kitu ndo utagundua kumbe umekaa bila taarifa za maana Kwa muda mrefu.
Mtendaji wa kata sio cheo cha kuteuliwa isipokuwa mwaka 2019 kuna makada waliingizwa kwenye utumishi kama watendaji wa kata.Watendaji wa kata wanateuliwa, mfano Mimi nimehitimu chuo na nafafiki zangu kadhaa ambayo sasa ni watendaji wa kata. Nilisoma nao kozi moja, walipigiwa simu Kila mmoja kwa mda wake na tayari wapo kazini miaka zaidi ya 5. Kuhusu chama ( ---),
Kama haujasikia nafasi za kazi kwa watendaji wakata basi jua hilo.
Utofauti ukoje hujadadavua?Naomba kuuliza hili swali.
Mimi Nina changamoto namba ya NIDA Ina majina tofauti na yaliyopo katika vyeti vyangu vya taaluma Kama
Form four , form six na chuo .
Je nikitumia Affidavit katika kuomba hizi nafasi za ualimu ntaweza kuitwa katika usaili.
Hili swali linatoka kwa mdogo wangu naomba ufafanuzi kwa wazoefu wa Ajira portal.
Utofauti ukoje hujadadavua?
Nenda NIDA watarekebisha majina yafanane na ya kwenye vyeri vya shule pamoja na kuzaliwaMfano
Jakaya mrisho kikwete
Rizimoko msoga jakaya
Hivyo yaani mkuu
Ht ukijaza taarifa za uongo bado itakuongezea %