DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hizi unasoma miaka mitatu na aumalizi
Mimi niliyeomba Chemistry sitoulizwa about subjects contents yaan kusolve maswali ya Chemia au inakuwajeTu
Hamna mkuu hapo unachukua uelewa tu mkuu
Mfano waweza kuulizwa umuhimu wa teaching Aid na sifa zake so nikujipanga
Kutakuwa na tofauti ya mtihani wa diploma na Degree Kwa the same teaching subject??Walimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.
Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.
Anza kusoma haya mamboππ½
Curriculum and syllabus
Lesson plan
Scheme of work
Teaching Aid
Teaching method
Teacher philosophy
Media and technology in teaching
Counselor and guidance in teaching
Na
Kutakuwa na tofauti ya mtihani wa diploma na Degree Kwa the same teaching subject??
Mimi niliyeomba Chemistry sitoulizwa about subjects contents yaan kusolve maswali ya Chemia au inakuwaje
Dah c tulikubaliana hakuna usaili πWalimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.
Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.
Anza kusoma haya mamboππ½
Curriculum and syllabus
Lesson plan
Scheme of work
Teaching Aid
Teaching method
Teacher philosophy
Media and technology in teaching
Counselor and guidance in teaching
Dah c tulikubaliana hakuna usaili π
Hivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti,au ni address ile ile amezingua kwenye upangaji kama walivyotaka wao??
Ngoja waamkeHivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti,au ni address ile ile amezingua kwenye upangaji kama walivyotaka wao??
Ndio. Mara nyingi watu wanaandika address ya muajiri badala ya psrs.Hivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti
Ah huyu mtu n mzembe knoma, inakuaje unafanya makosa ya aina moja kila wakati, au ndio kujifanya mjuaji hutak kuuliza kwa watu?
Ni matokeo ya kutosoma tangazo lote la kazi!Kwenye tangazo la kazi kule mwishoni huwa ni lazima upewe adress unayopaswa kutumia. Na wala siyo kwamba barua zote huelekezwa kwa katibu psrs. Mfano rahisi rejea tangazo la kazi nafasi za chuo kikuu cha kilimo SUA la tarehe 02/08/2024,wameelekeza adress ya kutumika ambayo siyo ya katibu psrs lakini utatumia mfumo wa kielektroniki waHivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti,au ni address ile ile amezingua kwenye upangaji kama walivyotaka wao??
ππππAh huyu mtu n mzembe knoma, inakuaje unafanya makosa ya aina moja kila wakati, au ndio kujifanya mjuaji hutak kuuliza kwa watu?
jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLAππππ
Anza kusoma mwanzo wa uzi acha uvivu mbona kila kitu kimeelezwa humu.jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA