Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Tu

Hamna mkuu hapo unachukua uelewa tu mkuu

Mfano waweza kuulizwa umuhimu wa teaching Aid na sifa zake so nikujipanga
Mimi niliyeomba Chemistry sitoulizwa about subjects contents yaan kusolve maswali ya Chemia au inakuwaje
 
Na
Walimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.

Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.

Anza kusoma haya mambo👎🏽

Curriculum and syllabus

Lesson plan

Scheme of work

Teaching Aid

Teaching method

Teacher philosophy

Media and technology in teaching

Counselor and guidance in teaching
Kutakuwa na tofauti ya mtihani wa diploma na Degree Kwa the same teaching subject??
 
Wahusika changamkieni fursa, nafasi ni yenu hii.
 
Walimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.

Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.

Anza kusoma haya mambo👎🏽

Curriculum and syllabus

Lesson plan

Scheme of work

Teaching Aid

Teaching method

Teacher philosophy

Media and technology in teaching

Counselor and guidance in teaching
Dah c tulikubaliana hakuna usaili 😭
 
1000134177.jpg
 
Hivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti
Ndio. Mara nyingi watu wanaandika address ya muajiri badala ya psrs.

Kuhusu mpangilio sidhan kama mtu anaweza kuikosea kiasi hicho had kutokuitwa kwenye Usaili.

Mfano mm mara nyingi naandika hv 👇

Secretary,
Presidents Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P. O. Box 2320,
University of Dodoma,
Utumishi/Asha Rose Migiro Buildings.
Dodoma.

Lakini mwingine anaweza kuandika hv 👇

Secretary,
Presidents Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P. O. Box 2320,
Dodoma.

Au

Secretary, President Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P. O. Box 2320,
Dodoma.

Na wote hao wapo sahihi na wataitwa kwenye usahili.
 
Hivi wanavosema application letter not addressed to secretary ,PSRS inamaana alituma kwa address tofauti,au ni address ile ile amezingua kwenye upangaji kama walivyotaka wao??
Ni matokeo ya kutosoma tangazo lote la kazi!Kwenye tangazo la kazi kule mwishoni huwa ni lazima upewe adress unayopaswa kutumia. Na wala siyo kwamba barua zote huelekezwa kwa katibu psrs. Mfano rahisi rejea tangazo la kazi nafasi za chuo kikuu cha kilimo SUA la tarehe 02/08/2024,wameelekeza adress ya kutumika ambayo siyo ya katibu psrs lakini utatumia mfumo wa kielektroniki wa
 
😂😂😂😂
jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
 
Anza kusoma mwanzo wa uzi acha uvivu mbona kila kitu kimeelezwa humu.
 
naomba tuu msaada wa majibu maana nimepitiia uzi sijaona changamoto kama hii yakwangu hivyo msaada ni muhimu
 
Back
Top Bottom