Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Habari Wakuu...samahani Kuna njia ya kuondoa watermark ya CamScanner baada ya kuscan vyeti??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado inagoma eti. Shida itakuwa nini
Walimu mnashida jamani kwani watermark ina shida gani mbona watu tunaomba kazi kila siku na hiyo watermark nenda stationeryHabari Wakuu...samahani Kuna njia ya kuondoa watermark ya CamScanner baada ya kuscan vyeti??.
Mkuu kuna vitu vipo simple sana inakuwaje unaelekezwa kitu kidogo unashindwa kuelewa.Huko kwenye usaili itakuwaje hasa oline interview si utafanya mpaka IT wa mfumo acheke aongeze siku.Kama ku appload picha unashindwa vipi? Kitu kidogo hivyo na kipo katika mfumo na kinaeleweka? Je huko vyuoni hamkuwa mnafanya assignments? Mlikuwa mnazifanya vipi au material na references mlizitoa wapi? Je computer na cozi za semista za TEHAMA hamkusoma? Walimu mnazingua kuna maswali mnauliza mpaka inafika mda unawaza huyu kapataje Degree yake na huko kwenye usaili si atatia aibu? Sawa kila la heri lakini kwa kuleta ajira hizi PSRS itafanya wapatikane walimu cream sahihi kabisaWewe umefeli std7 kwa kujifanya muelewa sana wa kila kitu mwalimu sio robot la Al
Mkuu inagoma tu, inarudi picha ileile. Huu mfumo naona umeamua kunikataa hata kabla sijaombaBaada ya ku-upload picha, ondoa tiki kwenye kibox cha Lock Aspect Ration ili uandike 300 Width x 300 Height au vipimo vinavyotakiwa.Image Resizer | Easily Resize Images Online for FREE
Image Resizer. Quickly resize image files online at the highest image quality. No software to install and easy to use.imageresizer.com
Punguza stress mkuu naona unatoa povuMkuu kuna vitu vipo simple sana inakuwaje unaelekezwa kitu kidogo unashindwa kuelewa.Huko kwenye usaili itakuwaje hasa oline interview si utafanya mpaka IT wa mfumo acheke aongeze siku.Kama ku appload picha unashindwa vipi? Kitu kidogo hivyo na kipo katika mfumo na kinaeleweka? Je huko vyuoni hamkuwa mnafanya assignments? Mlikuwa mnazifanya vipi au material na references mlizitoa wapi? Je computer na cozi za semista za TEHAMA hamkusoma? Walimu mnazingua kuna maswali mnauliza mpaka inafika mda unawaza huyu kapataje Degree yake na huko kwenye usaili si atatia aibu? Sawa kila la heri lakini kwa kuleta ajira hizi PSRS itafanya wapatikane walimu cream sahihi kabisa
Fanya hivi.Picha iwe na background iliyoelekezwa na isiwe picha tu bali passport size,then iweke katika format waliyoelekeza baada ya hapo katika device yako sehemu ambayo ukiwa unaipakia uione kumbuka iwe katika size elekezi.Baada ya hapo nenda kwenye profile yako fungua sehemu ya picha click hiyo picha iliyopo then itakupeleka kule unapotaka kwenda chagua picha unayotaka kuipakia then subiri. NB picha isiwe katika mfumo wa PDF Itakataa.Ukishindwa na hapa subiri ajira zingineMkuu inagoma tu, inarudi picha ileile. Huu mfumo naona umeamua kunikataa hata kabla sijaomba
Bado hajafanikiwa??Hapana, ni muombaji mpya
Ngoja nisubiri tu. Unachokieleza nimeshakirudia zaidi ya mara 50 na bado hakileti majibuFanya hivi.Picha iwe na background iliyoelekezwa na isiwe picha tu bali passport size,then iweke katika format waliyoelekeza baada ya hapo katika device yako sehemu ambayo ukiwa unaipakia uione kumbuka iwe katika size elekezi.Baada ya hapo nenda kwenye profile yako fungua sehemu ya picha click hiyo picha iliyopo then itakupeleka kule unapotaka kwenda chagua picha unayotaka kuipakia then subiri. NB picha isiwe katika mfumo wa PDF Itakataa.Ukishindwa na hapa subiri ajira zingine
Usikate tamaa,jisemee hivi huu ni wakati wangu naenda kuripoti kazini miezi kadhaa ijayo.then kunywa maji anza upya zoezi la kupakia picha nakuahidi litakubali na utaenda kufanikiwa.kila la heriNgoja nisubiri tu. Unachokieleza nimeshakirudia zaidi ya mara 50 na bado hakileti majibu
Asante mkuu. Nitaendelea kujaribu kadri nitakavyowezaUsikate tamaa,jisemee hivi huu ni wakati wangu naenda kuripoti kazini miezi kadhaa ijayo.then kunywa maji anza upya zoezi la kupakia picha nakuahidi litakubali na utaenda kufanikiwa.kila la heri
Mkuu number ake ishatumika hata mm nishawai kuwa na tatizo kama lako hiloo awapigie simu tu hapo utoboi
Wapigie mkuu tayari nishafanikiwaBado hajafanikiwa??
Naomba unielekeze tafadhal unafanyaje plz napiga sim hawapokeiWapigie mkuu tayari nishafanikiwa
kascan tu stationery mzee, shida ya nini? Vinginevyo uwe na camscanner ya kulipia.Habari Wakuu...samahani Kuna njia ya kuondoa watermark ya CamScanner baada ya kuscan vyeti??.