Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Huu mchujo sio poa kabisa
Sio kwamba saili zote 3 zinafanyika kwa siku 1...Mkishafanya written wanatoa matokeo wale waliofaulu watafanya practical siku nyingine watatoa tena matokeo watakaofaulu watafanya oral siku nyingine tena then mnasubiri kuitwa kazini sasa
uu
 
Nimesahau password ya email niliyotumia kabla.
Napiga simu hawapokei, email hawajibu Leo siku ya pili.
Sijafanya chochote
Endelea kupiga bila kuchoka mpaka wapokeee usichoke usichoke endelea kushika lini!
 
Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako)
1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript plus chet cha kuzaliwa ni lazima)
2. Uwe umeattach documents/attachments zote kulingana na level ya elim ulizopita" hapa unakuta mtu kasoma chuo ila hajaweka transcripts " my dear expect nothing
3. Hakikisha barua yako ya maombi inazingatia vitu viwili vikibwa kwanza iwe imesainiwa na wewe mwombaji wa nafasi hzo, pili hakikisha barua iwe directed kwenye anuani husika kama ulivoelekezwa" usikosee hata kdogo anuani kitakulamba[emoji23]

4. Hakikisha mihuri ulopiga kwenye vyeti ni official syo umekutana na wakili uchwara tu kaokota mhuri huko ukapiga" itakucost
5. Hakikisha umeweka chet cha kuzaliwa ni mhim , usipoweka huwez kuwa shortlisted
6. Kama umefanya duplication ya certificates unakuta mtu kaweka same Bachelor kama mara 3 kakosea tu katika ujazaji" fanya jihad za kuichomoa ila isikupe wasiwas kikubwa kama haikulimit kuapply unaweza kuwa shortlisted ila fanya namna ya kuiweka Sawa

7. Hakikisha umeweka passport size,
8. Hakikisha umejaza wadhamin wako watatu na ni vizuri wasiwe ndugu, unakuta mtu jna lake ni PAUL JOHN, ukija kucheki wadhamini wote tunaona kina JOHN tu[emoji23] kdogo inaweza kuleta shda japo so sana
9. Hakikisha umeweka CV yako" na usitumie cv ile inayokuwa generated from ajiraportal account, tumia cv ya kawaida za kila sku tunazotengeneza
10. Hakikisha kama Kuna shida ya majina labda nida na majina yako haviendaniii , au chet cha kuzaliwa pia Kuna shda na majna yako halisi hakikisha ume attach affidavit/kiapo pale kwenye other attachments Kuna hyo sehem.

Above all" mkabidhi Mungu kwenye kila ktu.
Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
 
kuna jamaa nimekutana nae anasema, mimi nimeachana na kazi ya ualimu sahz ni wakala wa mpesa, tigo nk. nyinyi mnaangaika na kuapply ualimu mmelogwa.?
Sisi Wabongo sio wa kuaminika kabisa, unaweza kukuta jamaa amesha-apply muda mrefu anawachora wenzake tuu
 
Mkuu nimesoma Bed Adec nimejaribu kuomba jana kwa somo la historia ikakubali. Na ikanionesha nimesha apply katika daraja husika katika mikoa yote.
Nimesoma Psychology ilikuwa inakataa nikaweka of history and geography imekubari sasa sijui italuwaje
 
Sawa kamanda
Nenda kwenye email yako bonyeza neno forget password .Baada ya kubongeza italuletea Type your email
Pia kwa chini kuna maneno yameandikwa kwa repicha
Type hayo maneno then submit ,ukisha submit watakuandikia reset password sent to your email .Baada kama dk 2 watakutumia link ya inasema Activate your account yako rangi ya Blue Bonyeza hayo maneno itakuletea inter new password na confirm new password kwa chini Kuna neno Change .ukishabonyeza neno change itakuandikia continue Click Hilo neno continue hapo utakuwa umabadili neno la Siri au Password .Mfano wa password utakayoweka andika Ngara@1990 fanya hivo uendelee na maombi
 
Wakuu hili swala limekaaje na itakuaje huko mbele ...

Unakuta chuo nimesoma "bachelor of science with education " ndio degree yangu masomo yalikuwa chemistry na biology lakin ajira portal nikijaza hio kozi mfumo unakataa kabisa ....ila nikijaza hii bachelor of education (chemistry and biology) inakubali .... course ya kwenye cheti na niliyoapply tofauti ...

Wengi tu tumefanya Fanya hivo , bachelor of art with education,unakuta mfumo unakataa mpaka uweke yenye somo kabisa ,ambayo Ni tofauti na iliyoandikwa kwenye cheti ...

Kwa wenye uzoefu ajira portal ,kuitwa interview na mengine changamoto kama hio huwa huko mbele Hakuna tatizo lolote ?
 
Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
Kwa upande wangu vyeti vipo hivyo hivyo yani form 4 na 6 majina mawili.
Lakini Interview naingiga bila Affidavit cjajua kama kuna mdau ashawahi kuzuiwa kwenye hilo.
Ishu kubwa hapo ni Herufi.
 
Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
Wewe usijali wewe hakikisha vyeti vimekuwa certified hayo mengine utafanya uko mbele kwa kutafuta kiapo
 
Wakuu hili swala limekaaje na itakuaje huko mbele ...

Unakuta chuo nimesoma "bachelor of science with education " ndio degree yangu masomo yalikuwa chemistry na biology lakin ajira portal nikijaza hio kozi mfumo unakataa kabisa ....ila nikijaza hii bachelor of education (chemistry and biology) inakubali .... course ya kwenye cheti na niliyoapply tofauti ...

Wengi tu tumefanya Fanya hivo , bachelor of art with education,unakuta mfumo unakataa mpaka uweke yenye somo kabisa ,ambayo Ni tofauti na iliyoandikwa kwenye cheti ...

Kwa wenye uzoefu ajira portal ,kuitwa interview na mengine changamoto kama hio huwa huko mbele Hakuna tatizo lolote ?
Soma tena tangazo vizuri! Lazima kila mtu amebobea kwenye somo au masomo fulani kama inakataa inaweza kuwa shida siyo hii hebu kagua kila hatua uitazame vyema vyema vyema
 
Mkuu mimi nida na cheti cha kuzaliwa vina majina matatu ila vyet vya taaluma vina majina mawili je affidavit inahitajika
Swala la ajira za sasa ni hatari. Bado wale wenye vyeti vya form 4 vyenye majina mawili bado hawajaajiriwa. Aiseee ni hatari sana. Tumuombe MUNGU
 
Soma tena tangazo vizuri! Lazima kila mtu amebobea kwenye somo au masomo fulani kama inakataa inaweza kuwa shida siyo hii hebu kagua kila hatua uitazame vyema vyema vyema
Wanaofanya application wanaelewa Hilo tatizo mkuu , sijajua Kwa waliokwisha kutana na hio changamoto huko mbele walifanyaje
 
Back
Top Bottom