Kuna kila dalili kwamba suala la mikopo mwaka huu litaleta tafrani ya kihistoria vyuoni,serikari isitegemee kwamba inaweza ikawaacha maelfu ya watoto wa walipakodi maskini wenye sifa na hali ikawa shwari tu haiwezekani hata kidogo!hii ishu ni muhimu kuliko hata ishu ya umeme!,,USHAURI WA BURE KWA SERIKALI,,Bado haijachelewa,wakae chini na kutoka na mpango wa dharula na wa haraka utakaohakikisha wote wanaostahili kupata mikopo wanapata haraka iwezekanavyo!Vinginevyo mh Kawambwa huku SITE watu wanaona kabisa kwamba hili leo mkicheka nalo basi mjue iko siku isiyo na jina mtajalia kilio cha mbwa!,,,,,na sisi wadau wenye nchi basi tujadili tatizo kitaifa zaidi badala ya kusifia eti chuo gani ni mabingwa wa kudai haki kuliko vinginne,.THINK TWICE!