Serikali yatangaza kufuta NGO 29 baada ya kuomba kwa hiari

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia Aprili 22, 2022 kama ifuatavyo;
qq (1).PNG

20220422_181431.jpg

NGO 2.jpg

ngo 3.jpg

Source: Malunde
 
Kwanini wote hao wameshindwa kuendelea na shughuli zao?

Serikali inatakiwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanya shughuli zao, hao jamaa ni muhimu sana wanasaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira, wao ndio huajiri wengi zaidi ya serikali.

Sijui ni wafanyakazi wangapi watakuwa wamepoteza ajira zao hapo, na tatizo la umasikini litakuwa linazidi kuongezeka huku serikali ikijitahidi kulipunguza.
 
Soma sababu za kutaka kufutwa!
 
Back
Top Bottom