Kwanini wote hao wameshindwa kuendelea na shughuli zao?
Serikali inatakiwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanya shughuli zao, hao jamaa ni muhimu sana wanasaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira, wao ndio huajiri wengi zaidi ya serikali.
Sijui ni wafanyakazi wangapi watakuwa wamepoteza ajira zao hapo, na tatizo la umasikini litakuwa linazidi kuongezeka huku serikali ikijitahidi kulipunguza.