JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo Bukoba, Handeni, Kilindi, Kigamboni, Mkuranga na Temeke.
Pia kuna Halmashauri zenye wagonjwa wa Surua lakini hazijafikia vigezo vya kuwa na mlipuko.