Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

Mlipuko? Unajua maana ya mlipuko? Surua ni ugonjwa wa mlipuko (epidemic)?

Ugonjwa wa Surua unaweza kuwa unaanza kurudi kutokana na Magufuli kuwaaminisha Watanzania wengi kuwa Chanjo ni mpango wa wazungu kutuua
Sijui yeye kwa nini hakufa na wakati alipigwa chanjo

Aungue milele yule dikteta
Kwakweli✓
 
Si mlisema kuwa wazungu wanataka kuwauwa na hizi chanjo??
Ni kweli !ishu ya chanjo ni kama mbinu ya serikali siku HIZI!!

Yaani tengeneza TATIZO tatua TATIZO jipigie makofi!

Na wao ni puliza vimelea hewani kama corona halafu uza chanjo jisifu kea kugundua chanjo!!

Mbinu ile ile serikali imeiga!!
 
Watu 54 out of 60m wanatosha kutuhakikishia kwamba kuna mlipuko wa surua nchini? Nilisikia ile kauli kwamba tunajenga vituo vya afya nchi nzima, huku niliko kwakweli sijaona ujenzi wowote, si tu mahali nilipo ila hata maeneo ya jirani
 
Back
Top Bottom