Mlipuko? Unajua maana ya mlipuko? Surua ni ugonjwa wa mlipuko (epidemic)?
Ugonjwa wa Surua unaweza kuwa unaanza kurudi kutokana na Magufuli kuwaaminisha Watanzania wengi kuwa Chanjo ni mpango wa wazungu kutuua
Sijui yeye kwa nini hakufa na wakati alipigwa chanjo
Watu 54 out of 60m wanatosha kutuhakikishia kwamba kuna mlipuko wa surua nchini? Nilisikia ile kauli kwamba tunajenga vituo vya afya nchi nzima, huku niliko kwakweli sijaona ujenzi wowote, si tu mahali nilipo ila hata maeneo ya jirani