Serikali yatangaza nafasi 500 za ajira nje ya nchi kwa waendesha pikipiki

Makundi ya kigaidi yanaundwa kijanja sana ...msije sema sikuwaambieni adriz
 
Kawape.ajira basi ili wasije kutuibia majumbani mwetu
Mimi ni mjumbe nabii lema alisema KAZI ya BODA BODA ni LAANAA.

Mimi NAFIKIRIA njia nzuriii ya vijana wa kitanzania serikali iwekeze kwenye AGRICULTURE REVOLUTION.

Itafutwe njia nzuriii na watalaam wakae kutafuta project kubwa kubwa za kilimo vijana wawezeshwe KUWEPO usimamizi mzurii hiyo ndio njia Bora.

Kuchukua nguvu KAZI ya taifa kuipeleka ARABUNI kufanya kazi ya kuendesha bajaji na BODA BODA naona ni reckless thinking πŸ€”

Bora kuwa winga kariakoo ama machinga kuliko kwenda ARABUNI na kuwa BODABODA
 
Mwanzo mzur. Lakn kwann Saudi Arabia wanataka madereva na wafanyakaz wa ndani( Cheap Labour) pekee. Cjawahi kuckia Engineers au Doctors(Skilled/Professional labour) wanatakiwa Saudi Arabia....
Nimejibuje huyuuu?

 
Bora wakaendeshe bodaboda kuliko kubaki kwenye hii nchi inayoongozwa na viongozi takataka
 
Wazazi na Familia zao zitanufaika na kutumiwa pesa kutoka Uarabuni na hao Boda boda. Watanunua Mashamba, Viwanja, na kujenga Nyumba za kifahari
 
Kuna resistance wapi? Watu wanachapa kazi
 
Yani uwe bodaboda afu uwe na hati ya kusafiria?
Kati ya boda 1000, mmoja ndio ana hati.

Hati zenyewe zinatolewa kama vile unaomba kibali cha kwenda mbinguni
 
Ila mkiwa nje ya nchi mkiambiwa kuosha vikongwe au kuchuma matunda na kubeba box mnaona sawa. Kuna watu mna nongwa sana.
 
Kinachofata ajira za mashoga na machawa nchi za nje Serikali itatangaza kupoza moto October 29.
Wewe kweli umedhihirisha ni NYUMBU na mgonjwa wa akili. Baada ya kusema haya nenda kaandamane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…