Vijana wachukue tahadhari kubwa. Kama una ndugu yako, mshauri asiende.
1. Waarabu ni watu wabaguzi sana dhidi ya mtu mweusi. Nadhani bado mnakumbuka lile tukio la kijana yule aliyeajiriwa Dubai, mara baada ya kupandishwa cheo, wafanyakazi waarabu walimkamata na kumbeba kwa nguvu na kumtumbukiza kwenye mashine ya kusagia nyama, kwa madai kuw hawawezi kusimamiwa na mtu mweusi.
2. Mnakumbuka ile tahadhari ya WHO kuwataka watu, hasa kutoka Afrika, kuwa makini wakiambiwa kuna ajira nchi za kiarabu. Taarifa ile ilisema kuwa kwa sasa huko Uarabuni kuna biashara kubwa ya figo, moyo na ini. Mnaambiwa kuna kazi, mkifika huko mnapewa kazi ndogo ndogo, lakini ukweli ni kwamba ninyi ni duka la figo, moyo na ini. Siku akipatikana mgonjwa anayehitaji hivyo viungo, unawekewa dawa kwenye chakula, ukianza kujisikia vibaya, unabebwa kupelekwa hospitali. Ukifika huko unawekewa dawa ya kukulaza, wanatoa kiungo wanachokihitaji, na kisha kuwataarifa ndugu zako kuwa ulipoteza maisha wakati unatibiwa.
Baada ya taarifa ile, nchi za kiarabu ziliilalamikia WHO, nao wakadai kuwa taarifa ile iliwekwa kwenye ukurasa wa WHO na mfanyakazi wao lakini haikuwa taarifa rasmi ya WHO. Lakini ofisa aliyeiweka alitimiza wajibu wake.
Mwarabu hamwoni mtu mweusi ni binadamu kama yeye, ndiyo maana aliwahi kumwuza kama mbuzi, hakuwahi kumwuza mwarabu mwenzake, mhindi, mchina wala mzungu, bali mtu mweusi. Kuna wakati waarabu wa Zanzibar walipoenda Oman, wakitaka houseboy au housegirl, unawasikia wanauliza, siwezi kupata mtwana wa kazi za nyumbani tika hyko Afrika? Na siku zote ajira kwa nchi za kiarabu, wanataka watu wasio na elimu wala ujuzi maalum.
Kama una ndugu yako unampenda, mwambie asithubutu kwenda huko eti kuajiriwa.