Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi jumla ya elfu sita, mia mbili na hamsini na saba (6,257) katika Wizara, Idara, Wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa.
Nafasi hizo zinahusisha maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, misitu, uhifadhi, utawala, na mengineyo.
Nafasi hizo zinahusisha maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, misitu, uhifadhi, utawala, na mengineyo.