Serikali yatangaza nafasi za kazi 6,257 katika wizara, idara, wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa

Serikali yatangaza nafasi za kazi 6,257 katika wizara, idara, wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa

Mkuu wa 11 sio mchakato wa usaili tu pogia jesabu january mkuu,kuripoti kazini mwakani july
Waliosoma cuba wanaelewa[emoji16][emoji16]
Mwaka jana walitoa nafasi kama 800 hvi afisa maemdeleo ya jamii MDA &LGA wanaita mmoja mmoja sahvi sina hakika kama ata mia 4 wamefika[emoji16][emoji16] toka wafanye usaili unaenda mwaka sahvi
usiwakatishe watu tamaa acha mambo hayo ya ajabu vijana tumeni maombi....
 
Back
Top Bottom