Maana yake hakuna ajira au?UCHAGUZI UO N HAKUNA KITU HAPO.....
mnapewa matumaini...............................mnavutwa mpaka uchaguzi , mnapiga kura mkitumaini warudi wakamilishe ajira zenu, NDIO MWISHO WAKISHASHINDA NA AJIRA HAKUNA.....................CCM HIYOMaana yake hakuna ajira au?
Kwa hio unadhani hizo ajira hadi kufikia mwakan wa 11 watakuwa hawajaripoti kazin ?mnapewa matumaini...............................mnavutwa mpaka uchaguzi , mnapiga kura mkitumaini warudi wakamilishe ajira zenu, NDIO MWISHO WAKISHASHINDA NA AJIRA HAKUNA.....................CCM HIYO
Wabongo Bhana 😂 jaribuni kuwa positive bc Wakuumnapewa matumaini...............................mnavutwa mpaka uchaguzi , mnapiga kura mkitumaini warudi wakamilishe ajira zenu, NDIO MWISHO WAKISHASHINDA NA AJIRA HAKUNA.....................CCM HIYO
Sema watu sio wafuatiliaji mbona miaka yote wanazitoagaKweli safar hii wameamua kukumbuka kada zingine
Hapo usaili mwkani mwezi 1 au 2 kwa ninavowajua utumishi😀Maana yake hakuna ajira au?
Mkuu wa 11 sio mchakato wa usaili tu pogia jesabu january mkuu,kuripoti kazini mwakani julyKwa hio unadhani hizo ajira hadi kufikia mwakan wa 11 watakuwa hawajaripoti kazin ?
Fursa hizo....Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi jumla ya elfu sita, mia mbili na hamsini na saba (6,257) katika Wizara, Idara, Wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa.
Nafasi hizo zinahusisha maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, misitu, uhifadhi, utawala, na mengineyo.
View attachment 3060505