Mkuu wa 11 sio mchakato wa usaili tu pogia jesabu january mkuu,kuripoti kazini mwakani july
Waliosoma cuba wanaelewa[emoji16][emoji16]
Mwaka jana walitoa nafasi kama 800 hvi afisa maemdeleo ya jamii MDA &LGA wanaita mmoja mmoja sahvi sina hakika kama ata mia 4 wamefika[emoji16][emoji16] toka wafanye usaili unaenda mwaka sahvi