Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Screenshot 2023-09-06 114244.png
Screenshot 2023-09-06 114325.png
Screenshot 2023-09-06 114349.png
Screenshot 2023-09-06 114407.png
Screenshot 2023-09-06 114425.png
Screenshot 2023-09-06 114437.png
Screenshot 2023-09-06 114449.png
Screenshot 2023-09-06 114503.png
Screenshot 2023-09-06 114514.png
Screenshot 2023-09-06 114528.png
Screenshot 2023-09-06 114541.png
Screenshot 2023-09-06 114554.png
Screenshot 2023-09-06 114611.png
Screenshot 2023-09-06 114623.png
Screenshot 2023-09-06 114636.png
 
Ngoja nichangamkie hiyo ya waiter mwa kiswahili mwandamizi daraja la pili, niwe naandaa meza ya chakula n.k, marupurupu yngu yatakuwa ni mabaki ya misosi ya walamba asali, mtaani kugumu jama.
 
Back
Top Bottom