Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo.

KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.

TBC Wana safari ndefu.
Ndio hawa?
GER20BaXUAAbs2c.jpg
 
Hivi Nchi ya Kenya wanafundishwa Nini shuleni?au mtaala wao wa elimu ukoje?Kwa ni ni wajasiri sana na wanajitambua kuliko watanzania ambao wao hata wakamuliwe vipi na tozo lakini hawaandamani.Naombeni utaratibu ili kuwa raia wa Kenya unafanyaje ili nihamie huko niachane na waoga wenye bunge kibogoyo.
 
Mtanzania ni mtu asie na akili hata kidogo ujamaa uliwaharibu wataz , hata haki zao kikatiba wanaomba, mtu anahela yake mkononi, anaenda dukani kununua kitu anasema eti naomba wakati analipa cash useme huyo ana akili timamu
 
Back
Top Bottom