#COVID19 Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

#COVID19 Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

Hahahaaaa....

Tulia wewe shogger mpenda chanjo.

Hizo chanjo baki nazo huko huko kwa mmeo.

Ukijifanya unadunga watu tutakushughulikia mpaka uvae chupi kichwani.

Ng'wana Samike member mpya kabisa wa JF:

IMG_20210620_132001_656.jpg

tulia hapo Chatto zama zenu za ujinga uliopitiliza zilikwisha.

Mmejifunza majina mapya baada ya kuzikimbia za zamani?
 
Ng'wana Samike tulia hapo Chatto zama zenu za ujinga uliopitiliza zilikwisha.
Narudia tena, hizo chanjo ujichanje wewe na mmeo.

Ukithubutu kujitia unadunga watu, hakika hautabaki salama.

Nitakuwa wa kwanza kuhakikisha unashughulikiwa kwa namna inayojulikana ama isiyojulikana.

Take it to the bank!
 
Badala ya kutoa hoja zako, unamshambulia mtoa hoja. Ubishi wa kijinga sishiriki. Inaonekana hata darasa la 1 hukufika. Mtu anayeandika neno "virus" kwa akili yako amekuwa msomi! Lo! Siwezi kujishusha kufikia hapo ulipo... Kwa mamneno mengine ktk shindano hilo la ujinga, umenishinda. Chukuwa kombe.
Huna lolote wewe mjuaji tu.

Kujitia tia usomi, oooh virus sijui nini nini!

Mabingwa wa kukariri nyinyi kama makasuku lakini hakuna sayansi yoyote mnayoijua.

Virus my foot! Tengeneza chanjo basi tuone usomi wako!

Umekaa kitako unasubiri kubugia machanjo ya mabeberu, unatuandikia magazeti... ooh virus, sijui variant!
 
Narudia tena, hizo chanjo ujichanje wewe na mmeo.

Ukithubutu kujitia unadunga watu, hakika hautabaki salama.

Nitakuwa wa kwanza kuhakikisha unashughulikiwa kwa namna inayojulikana ama isiyojulikana.

Take it to the bank!

Hii ID yako ya juzi?

IMG_20210620_132001_656.jpg

Huna lolote MPUMBAVU wewe.

Pamoja na kuwa hunitishi, nichanje watu mimi ni mtalaamu wa afya? Waungwana hatuvamii taaluma za watu. Huziheshimu na kusikiliza maelekezo yao kwa usikivu.

Wapumbavu kama wewe, ni wajuzi wa kila kitu: nyungu na ushirikina vyote vyenu. Hatutaki kusikia upumbavu wenu na ramli zenu za huko kwenu kwenye hadhara za nchi hii.

Hiyo ndiyo habari yenyewe mburula wewe!
 
Jielimishe hata kidogo tu. Nani alikwambia ukichanjwa hautumii barakoa? Mbona unajishusha chini hivyo wee binadamu?
Wabongo tuna copy & paste tu, wala hatujiulizi mara mbili, Mbowe alituambia kachanjwa lakini nae namuona anavaa barakoa!
 
Hii ID yako ya juzi?

View attachment 1824499

Huna lolote MPUMBAVU wewe.

Pamoja na kuwa hunitishi, nichanje watu mimi mtalaamu wa afya? Waungwana hatuvamii taaluma za watu. Huziheshimu na kusikiliza maelekezo yao kwa usikivu.

Wapumbavu kama wewe, ni wajuzi wa kila kitu: nyungu na ushirikina vyote vyenu. Hatutaki kusikia upumbavu wenu na ramli zenu za huko kwenu kwenye hadhara za nchi hii.!
Nimemaliza.
 
Walei yaani mna ubishi sana. Kitu usichokijua ni kwamba virus kwa tapia yake hubadilika sura kadiri muda unavyopita. Ndiyo maana kuna variants nyingi za novel corona virus tangu igunduliwe 2019/20 km vile Alpha, Beta, Delta, nk. Chanjo ambayo inafanyakazi kwa variants za sasa inaweza isifanye kazi kwa variants mpya zitakazokuja kesho na keshokutwa. Kwa hiyo kuendelea kujilinda baada ya chanjo na kuzuia variants nyingine kutoka nchi nyingine bado ni muhimu.
Sasa hiyo chanjo inawasaidia nini kama virus wanabadilika? huo usomi wako wa internet unaojidai nao hata sioni maana yake, Astrazeneca ilikuja na matatizo kibao.

Unaniita mbishi wakati mwenyewe unapigia kelele kitu unachokiri hakidhibitiki kwa 100%!, look at yourself, usiwe mtumwa wa mzungu kupita kiasi na elimu yako unayojidai nayo, changanya na zako.
 
Jielimishe hata kidogo tu. Nani alikwambia ukichanjwa hautumii barakoa? Mbona unajishusha chini hivyo wee binadamu?
Kumbe hizo chanjo mnazopigia kelele za kazi gani kama hamziamini mpaka mvae tena barakoa? huyo mdau lorenzo anakuonesha ulivyo kipofu unajitutumua kumuita mjinga, wakati wewe ndio zaidi ya mjinga.
 
Chanjo ya Corona Tz ni kwa ajili ya kuwafurahisha wazungu tupate misaada toka kwao kama yalivyo masharti yao, lakini sio kwa ajili ya kujikinga na Corona, huwezi kuchanjwa usipate Corona, halafu bado utetemeke uvae tena barakoa kwa ajili ya kuogopa kirusi kipya cha Corona, kwa kufanya hivyo unakuwa hauna tofauti na ambae hajachanjwa kabisa coz risk ya kupata Corona iko palepale.
 
Hii ID yako ya juzi?

View attachment 1824499

Huna lolote MPUMBAVU wewe.

Pamoja na kuwa hunitishi, nichanje watu mimi ni mtalaamu wa afya? Waungwana hatuvamii taaluma za watu. Huziheshimu na kusikiliza maelekezo yao kwa usikivu.

Wapumbavu kama wewe, ni wajuzi wa kila kitu: nyungu na ushirikina vyote vyenu. Hatutaki kusikia upumbavu wenu na ramli zenu za huko kwenu kwenye hadhara za nchi hii.

Hiyo ndiyo habari yenyewe mburula wewe!
Hilo jamaa halijielewi, kujiunga majuzi tu hapa na kuanza kushambulia watu humu. Mods. fanyeni kazi yenu kwa hawa machizi wanaojiunga sasa.
 
Hilo jamaa halijielewi, kujiunga majuzi tu hapa na kuanza kushambulia watu humu. Mods. fanyeni kazi yenu kwa hawa machizi wanaojiunga sasa.
Utapata tabu sana na mabarakoa yako!

Kama una kiwanda cha cherehani cha kushona mabarakoa ya corona, ni heri ukifunge.

NIKUELEZE KWA HERUFI KUBWA KWAMBA WATEJA HAKUNA NA HAWANA MPANGO NA MABARAKOA.
 
Back
Top Bottom