Serikali yatoa bilion 10 kulipa walimu wapya

AON

Senior Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
106
Reaction score
18
Hatimae serikali imetoa kauli kuhusu walimu wapya ambao hawajapata salary yao ya mwez 5. Swali liliulizwa na Mh. Rage mbuge wa Tabora mjini akitaka kauli ya serikali kuhusu walimu wapya waliopangwa jimboni mwake pamoja na halmashauri nyingine ambao hawajapata salary yao. Jibu lilitolewa na Mh. Mwiguru naibu waziri wa fedha kwamba amewasiliana na hazina kuhusu tatizo hili na hazina tayali wameshatuma billion 10 kwa malipo ya mishahara ya walimu waliokosa first salary. source bunge la tareh 04/06/2015
or Habari Leo toleo 5/06/2015
 
Afadhali kama litakamilishwa kwa wakati maana wanavyolalamika humu JF mpaka huruma!
 
Mkuu Hayo Maneno Tu Angalia Bajeti Ya Hii Wizara Ilikuwa Isipite Maana Kiasi Kikubwa Cha Pesa Hakikutengwa
Umeona Mawaziri Wanne
Walikuwa Wanajibu Hoja Ili Bajeti Ipitishwe
 
Mkuu Hayo Maneno Tu Angalia Bajeti Ya Hii Wizara Ilikuwa Isipite Maana Kiasi Kikubwa Cha Pesa Hakikutengwa
Umeona Mawaziri Wanne
Walikuwa Wanajibu Hoja Ili Bajeti Ipitishwe
Wizara gani mkuu?
 
hyo ni hela ya kujikim au? kwa hyo mishahara inatumwa halmashauri?
 
Walimu tuna njaa sio siri mana mshahara hadi usali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…