Hatimae serikali imetoa kauli kuhusu walimu wapya ambao hawajapata salary yao ya mwez 5. Swali liliulizwa na Mh. Rage mbuge wa Tabora mjini akitaka kauli ya serikali kuhusu walimu wapya waliopangwa jimboni mwake pamoja na halmashauri nyingine ambao hawajapata salary yao. Jibu lilitolewa na Mh. Mwiguru naibu waziri wa fedha kwamba amewasiliana na hazina kuhusu tatizo hili na hazina tayali wameshatuma billion 10 kwa malipo ya mishahara ya walimu waliokosa first salary. source bunge la tareh 04/06/2015
or Habari Leo toleo 5/06/2015
or Habari Leo toleo 5/06/2015