Serikali Yatoa Bilioni 5.2 Ujenzi Barabara za Lami Jimbo la Hai

Serikali Yatoa Bilioni 5.2 Ujenzi Barabara za Lami Jimbo la Hai

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Ilani ya CCM ya Mwaka 2020-2025 Ukurusa wa 82 Ibara ya 57 inaeleza kuwa Kwa kutambua umuhimu wa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafirishaji na uchukuzi katika kuwezesha shughuli za kiuchumi na kijamii Mijini na Vijijini, Chama Cha Mapinduzi katika kipindi cha miaka mitano ijayo, kitahakikisha miundombinu ya usafirishaji na uchukuzi inaboreshwa kwa lengo la kufungua fursa za kiuchumi na kijamii katika maeneo ya Mijini na Vijijini.

Ili kufikia lengo hili, hadi sasa Serikali imetoa zaidi ya Tsh. Bilioni 5.2 kwa ajili ya matengenezo ya barabara katika Wilaya ya Hai kwa lengo la kuboresha mawasiliano kwa kuimarisha mtandao wa barabara.

Kazi kubwa imefanyika hadi sasa katika sekta ya miundombnu ya Barabara, Ukarabati wa Barabara kwa kiwango cha lami, ukarabati wa Barabara kiwango cha Changarawe lakini kazi nzuri zaidi ukarabati wa Madaraja Pamoja na Vivuko umeweka unafuu kwa watumiaji wa Barabara.
 
Back
Top Bottom